Bhangi si kilevi kizuri kabisa

inategemea na unavutia wapi....kaa chooni utakuwa na akili za waruwaru,unavuta uku unaituma ifanye kitu flani ndo hivyo hivyo.sina tunavuta kumaditetiii
 
Huyu anayepika kisufuria kitupu na bila moto halafu mtaani sijui kavutia wapi
 
Mkuu CYBERTEQ njoo uthibitishe hili ..
Kuna misleading ya mmea wa ajabu.

Nithibitishe mimi au athibitishe mleta mada?!..tena athibitishe kitabibu, siyo ameona picha za wachekeshaji kwenye mitandao kaja kubandika jf!
 
Duu hii yaweza kuwa ligi
 
ligi?...lol! huwa sipendi kutumia neno ligi maana ligi kwa tafsiri ya mtaani ni ubishani wa kishabiki, huwa napenda kujadili facts.

Yaeh kujadili facts imekaa vizuri zaidi lakini najua msimamo wako CYBERTEQ kuhusu hii kitu
 
Last edited by a moderator:

hahaha, mimi daima husimamia facts, nikipaa facs nzito against nachofahamu msimamo unageuka kwa sababu msimamo hutegemea ukweli! vipi, mwenzangu una msimamo tu bila kuwa na facts?
 
CYBERTEQ tuna misimimo miwili tofauti kuhusu hili nakumbuka tulishawahi kubishana sana kwenye uzi wangu mmoja
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…