Beyonce akiwa home

Watoto bana πŸ™‚

Nina uhakika hakuna mwanaJF ambae hajawahi fanya hii kitu utotoni
 
kweli aisee hahahahaaaaa,nawengine hiyo tabia wanaendelea nayo ila wanaita ni fasheni kwa siku hizi
 
hii ya fasheni mtu kujivisha mguu sio wake nayo kituko cha hali ya juu, hizi fasheni hizi
 
Umeona eeeh,huwa nacheka sana ninapo kutana na wavaaji wa hii fasheni na mwendo wao hubadirika pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…