Mashallah
Watoto jinsia gani?
Rais mstaafu wa marikani Barack Obama alibashiri kuwa beyonce atapata watoto wa kike. Tusubiri tuone
Mda mwingi wanalazimisha kujificha. Tokea mwezi wa tano Beyonce kapotea katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kisa tu siku za kujifungua zi karibu. Alipojifungua mtoto wa kwanza alijificha miezi takriban sita bila kuonekanaMaisha ya watu maarufu tabu tupu .
Siyawezi haya kwakweli.Mda mwingi wanalazimisha kujificha. Tokea mwezi wa tano Beyonce kapotea katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kisa tu siku za kujifungua zi karibu. Alipojifungua mtoto wa kwanza alijificha miezi takriban sita bila kuonekana
Hahaahahaaaa. Bongo wenyewe wanasema tafuna mifupa ungali bado na meno. labda siku za mbele watabadilikaBora hawa mastaa wakubwa wanapata watoto kwenye ndoa zao lkn njoo Bongo bahat mbaya wanaweza kuigiza mambo mabaya kutoka mamtoni
Sioni raha mimi hapo naona karaha tu.Lakini yana raha yake
Waswahili wanasema siri ya mtungi aijuae kata. Ma celebrity wengei wangekuwa hawapendi maisha yale wangeamua kuishi maisha ya kawaida. lakini kila kukicha ndio wanazidi kujikita kwenye wanachokifanyaSioni raha mimi hapo naona karaha tu.
Tofautisha Bongo na huko kwa watu maan ht wazaz wakiondoka mtoto ana uhakika wa Ku exist lkn kwetu bila mwenywe kuwepo c ajabu familia yako kupotea kwenye uso wa Dunia mfano ulizia mapato wanayopata familia ya Marehemu Michael JacksonWale mnaosema inabidi uwahi kuoa na kupata mtoto, hili la J kupata mtoto akiwa na miaka 47 mnasemaje?
Kama unategemea watoto kama non current asset wahini kuoa na kupata watoto. Mengi kazaa watoto ana miaka zaidi ya 70.