sasa wee nawe nilikupa heshima naona sasa umebugi...wewe ukiingia kwenye forums expect wajinga wenye akili na teolls wote wapo sasa kama hupendi sii utulizane.
kuhusu k bwana wee wadada na wakwe noma. wanavaa khanga huku **** ndembe ndembe...mwanaume lazima ugegede hamchelewi kusema oh haisimami
Nimegundua topic nyingi zinazoletwa humu ndani ni za kutungatunga. Yaani mtu analeta mada/swali la kijinga kuliko kawaida ili mradi tu ajaze uzi. Kama hizi thread za housegirl na mama mkwe kutegesha zimezidi sasa. Utafikiri K imekuwa shimo unajikwaa na kuanguka ndani?? Anyways...
"In Internet slang, a troll is someone who posts inflammatory, or off-topic messages in an online community, such as a forum, chat room, or blog, with the primary intent of provoking readers into an emotional response or of otherwise disrupting normal on-topic discussion."
Ukiona topic imekaa kitroll troll usijibu. Do not feed the troll.
Mhhhhhhhhhh! Kazi kweli kweli! Wadau mnapoamua kujibinafsishia jamvi!!!!!!! Hamkawiiiiii kusema faln na lani wananiboa, hakuna kupost au wakipost msijibu!
Umoja ni nguvu wajameni!
Dnt waste ur energy....thats mzabzab @ his best
Ur right kuna topic nyingi za hivyo nimezinotice mara kibao and as usual huwa si-comment mfano hai ni ile post ya jamaa kuzini na mama mkwe.....
Mkuu HoneyBee nakusapoti sana....yaani sijui hata tukoje hapa JF...kuna siku mtu alitunga UONGO na baadaye ndani ya THREAD akakiri kuwa kaitunga..LAKINI wapi mtu ziliendelea tu kuchangia na mawaidha kibao..Sikatai asilimia kubwa ya TOPIC ni imaginations/mambo yanayotokea/ na tunapochangia tunajua ni jambo lipo kwenye jamii na sio vibaya ukilileta kama fikirisho!!...UBAYA inakuwa pale mtu unapoleta issue as if imekutokea mwenyewe LIVE..but ukiangalia mazingira unaona its just illusions..Inakera sana pale mtu unapopoteza nguvu zako kujadili uzi kumbe kivingine its just a 'a silly thread'!!!!....
unaanguka na kutoka repeatedly..... K imekuwa shimo unajikwaa na kuanguka ndani?? .......