Better being Single-Ndoa majanga tu

Sina kosa dhamira yangu iko safi...nadhani kati ya watu waaminifu duniani mimi ni mmoja wao

Hivi kosa ni kutokuwa muaminifu tu?
Give her time and space. This weekend muache, zaidi ya goodmorning na goodnight, punguza mawasiliano. When she is ready mfuate.
Najua inabore sana, hata nami sipendi mashauzi yaso na msingi. Huenda it has something to do with HER and not you, but still alitakiwa akuambie tu.
 

0siwaseme sana wanawake, mbona hata mm nimekumbana na tabia kama hiyo kwa upande wa wanaume? Hata sasa hivi nimenuniwa week sasa, na sielewi nn kinaendelea. Basi hicho kichaa hata nyie wanaume mnacho. Ila tumezoea tatizo/tabia fulani akiwa nayo mwanamke ndio inakuwa 'big deal'
 
Kwani hicho kisirani hajawahi kukuonyesha siku za nyuma?Namaanisha ndio mara ya kwanza kumuona akiwa katika hali hiyo?
Kuna baadhi ya wanawake wakiwa katika siku zao ( Hedhi ) huwa na tabia hiyo..! Wengine huwa na hasira za namna hiyo wakiwa katika kipindi cha Ovulation..!

Mapenzi ni uvumilivu ndugu yangu..! Hata yeye bi dada kuna mambo atakuwa anakuvumilia..! Kila la heri..!
 

Nivumilieeee tuuuuu bila kujua ni nini jamani........nina haki ya kujua....basi hata aniambie kuna jambo linanisumbua niache kwanza....unamuuliza anasema mimi sina shida niko poa tu.....
 

At least kutokuwa mwaminifu ni kosa linalostahili kufanyiwa hivi.......Asante sana kwa Ushauri Kaunga,nimemwacha atulie zake akitaka ataniambia
 
Last edited by a moderator:

At least kutokuwa mwaminifu ni kosa linalostahili kufanyiwa hivi.......Asante sana kwa Ushauri Kaunga,nimemwacha atulie zake akitaka ataniambia
 
Last edited by a moderator:
Nakuunga mkono kwa zaid ya 1,000,000%,
mie mke wangu alikua janga kwangu si ameingia mkenge akarud kwao baada ya mzozo kidogo nami nimeuchuna stamfuata,

yani wadatj na. Fill afya yangu iko bora zaidi naisi kwa kuwa nimeacha kudoo. na kiukwel sfill kpnteza kitu kwa ktodoo

W.ume muwe makini iyo mimama ikifanya inanenepa nyie mnakonda uspokonda unakuwa dhaifu bila kjijua w.wake ni wanyonyaj achen kushoboka

zaid we ndo unaangaikia bao lenyewe lmelala tu lkiEnjoy alipotez kitu, bal we bao m1 unachoka na una.lose
 

Kama wa mume wako anakununia pasipo wewe kumkosea ama kuwa na kitu kingine cha siri kinachomkwaza hasa sehemu ya kazi ambacho labda hawezi ku share na wewe basi huyo wako ni mwanaume exceptional, hii elements mara nyingi iko upande wa wanawake na ni natural hata yeye hawezi kuibadilisha hata kidogo, ndio maana katika andiko langu nilimuambia mtoa mada kuanzia mwanzo na hata nilipomalizia nimesema asiogope, maana ni kitu cha mpito tu mwenzake atarudi kwenye hali ya kawaida, lakini naona wewe umeona kama nawasema sana wanawake, la hasha.

Wanawake ni watu muhimu, ni mama zetu, ni wake zetu, dada zetu, wanatuliwaza, wanatuburudisha, wanatupa raha nk, kama ilivyo sisi wanaume kwenu nyinyi wanawake. Rudia vizuri kusoma nilichokuwa nimeandika uone kama unahaja ya kuendelea kunishutumu.
 
Kila mtubhuwa anahitaji space my dear. Ukiona mwanaume yuko kimya, umeuliza na umebembeleza kidogo hajachangamka, mpe nafasi. Kaa kimya lakini usinune. Akikusemesha ongea kwa uchangamfu. Shukuru Mungu huyo mchuchu akiwa na kisirani ananyamaza. Mwingine akiwa na kisirani ni ngumi mkononi na mdomo unafurika matusi. Appreciate what you have. Magnify uzuri wake manake nawe una weaknesses zako.
 
...kwanza ndoa na uchumba ni vitu tofauti kabisa,pili tatizo lako binafsi haliwezikuwa janga la taifa,tatu unaonyesha unaudhaifu mkubwa wa kuhandle mahusiano. Ushauri wangu pata semina ya uchumba wewe na mpenzi wako kisha baada ya ndoa pata semina za ndoa. Kwa uzoefu wangu semina za kiroho zinamsaada zahdi...
 
Kaka mto hauvukwi nyumbani, mpaka sasa huna ndoa yanini kuogopa? Wewe mwenyewe ni product ya ndoa, kwa nini uogope taasisi ambayo ni asili yako! Mimi na Preta raha mustarehe, dadangu FP yupo kwa taasisi kwa zaidi ya miaka 12 mambo yake muswano, King'asti mshenga wangu kwake ndoa ipo kamili gado! Ndugu usitumie mifano mibaya kuvuruga/kufifisha uzuri wa sakramenti hii adhimu na takatifu!
 
Last edited by a moderator:
Wakikua wataelewa. Unajua nikiwa mdogo nilidhani kwenda shule is the worst thing that could happen to me.... Now i know better

Upo makini mshenga, nishampa mashule, akiunganisha na hili la kwako ataelewa, akikomaa ni kwa hasara yake!!
 

Tena katika ndoa TENDO ni TAKATIFU na SAKRAMENTI yenyewe ni TAKATIFU, ila bila ndoa hilo TENDO ni ubatili na ni machukizo mbele ya ALLAH!
 

Ukiona hivyo ujue amemfuata Apollo kwenye mwezi, msubiri akirudi.
 

Pole sana mkuu! lkn kuna baadhi ya watu wanaishi maisha ya ndoa kama wako peponi, huyo hakupendi, omba Mungu akupatie mchumba mwenye mapenzi ya dhati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…