betri yangu inasumbua

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
mambo wana jf...betri ya computer yangu pale kwa display inaonesha alama x nyekundu.sijajua nini tatzo..pia halikai mda mref kama ilivo kua inakaa zamani
 
comp yako ni aina gani, je ulishawahi kuitoa,au unatumia umeme wa generator ku charge ya laptop.Ila kwa kifupi tu jipange kununua nyingine mkuu
 
mambo wana jf...betri ya computer yangu pale kwa display inaonesha alama x nyekundu.sijajua nini tatzo..pia halikai mda mref kama ilivo kua inakaa zamani
<br />
<br />
mkuu hizi battery hua ni matatizo sana kama mwanzo ilikua inakaa na charge sana na sasa imepunguza less than 50
percentage ndo inaelekea kufa, but keep on doing investigation kama imegoma gafla kuingiza charge that will be another issue, may be adapter or motherboard lines.
 
Wakuu nimejaribu kutafuta betry ya ASUS X50RL Series bila mafanikio. Mwenye taarifa msada tafadhari
 
mambo wana jf...betri ya computer yangu pale kwa display inaonesha alama x nyekundu.sijajua nini tatzo..pia halikai mda mref kama ilivo kua inakaa zamani
mkubwa hiyo betri ishakufa so u need to replace it na nyingine, kama vp nicheki kwa namba hii 0655-003510 ntakusaidia kupata betri nyingine koz nahusika na ishu za computer. waiting for your call
 
Kuna manufacture kama HP wana utility au application unainstall inacheki afya na uhai wa betri yako then inakukupa feedback.

So to try to check kam manufacturer wa brand yako ana utility kama hiyo
 
Back
Top Bottom