M Mikanjuni Member Joined Jan 27, 2012 Posts 59 Reaction score 15 Dec 22, 2021 #1 Naomba wabobevu wanisaidie, Betri dry cell. Unatakiwa uishitue kwa muda gani ukiwa umepak gari kwa muda wa miezi miwili. Je itakufa usipo ishitua. Njia bora za kutunza betri ya gar in zip
Naomba wabobevu wanisaidie, Betri dry cell. Unatakiwa uishitue kwa muda gani ukiwa umepak gari kwa muda wa miezi miwili. Je itakufa usipo ishitua. Njia bora za kutunza betri ya gar in zip
wansawa JF-Expert Member Joined Oct 11, 2020 Posts 857 Reaction score 858 Dec 22, 2021 #2 Mikanjuni said: Naomba wabobevu wanisaidie, Betri dry cell. Unatakiwa uishitue kwa muda gani ukiwa umepak gari kwa muda wa miezi miwili. Je itakufa usipo ishitua. Njia bora za kutunza betri ya gar in zip Click to expand... Angalia kwenye kioo chale kama rangi ipo green usihofu ni nzima Jambo la pili itoe kwenye gari na uhifadhi eneo zuri chini weka mbao au maboksi, ikiwa utaliacha kwenye gari wire wa moto utoe kwenye terminal.
Mikanjuni said: Naomba wabobevu wanisaidie, Betri dry cell. Unatakiwa uishitue kwa muda gani ukiwa umepak gari kwa muda wa miezi miwili. Je itakufa usipo ishitua. Njia bora za kutunza betri ya gar in zip Click to expand... Angalia kwenye kioo chale kama rangi ipo green usihofu ni nzima Jambo la pili itoe kwenye gari na uhifadhi eneo zuri chini weka mbao au maboksi, ikiwa utaliacha kwenye gari wire wa moto utoe kwenye terminal.