Betrayal at home

Ni mpambanaji, hana uwoga na anajua/alijua the worst thing that can happen ni kumuua sio zaidi ya hapo, he is/was ready for that, wengi wameshapoteza maisha kuanzia kina Ben saanane, Kibao, Mdude ..yana mwisho lakini
Kabisa, Mungu amempa ujasiri wa Daudi,
 
Ngoja tusubilie mkuuu, mda utasema, speech yake ya juzi inatia shaka sana mkuu,
 
Ngoja tusubilie mkuu
 
Duuh yan hata siamini
Wabongo tumetulia tu
We dont take any action
 
mbona alipoitwa polisi hakwenda??
msimamo wake tokea awali alijua anaishi na kushinda na wahuni,lakini hesabu zake dhidi yao ni kama alikuwa anaishi na malofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…