Betrayal at home

Sure sasa hivi wanataka jeshi ndo liwafanyie kazi
 
Amina.
 
Wasaliti wa kwanza ni vijana wa tz
Mkuu wewe ni mwenye uono wa mbali kuliko wote wenye kuomba Mungu amlinde na wengineo wengi..mtu anaposema HP atakuwa hai Kwa nn saanane au mdude wasiwe hai? na je kama wameshamuua? What else? Watekaji wanajua vzr kuwa vijana wa Tanzania hawatenda mbali zaidi ya kusema free HP, wiki 2 washamsahau! Hata melo aliambiwa hilo anajua
 
Du
Dua la kuku. Naye alikuwa kilaza kama gwajima. Unasemaje yote hayo na bado unaishi tena mjini. Kumbe akina Saddam Hussein bado wapo!@
 
Write your reply...nitafurahi kusikia kafa asidhani nimesahau alivyo vunja maduka yetu tena usiku bila taarifa pale mbezi yeye akiwa dc wa ubungo
 
binafsi sielewi kwanini hamphrey alikuwa anafanya hayo akiwa hapa hapa,nimeshangaa sana.
Ni mpambanaji, hana uwoga na anajua/alijua the worst thing that can happen ni kumuua sio zaidi ya hapo, he is/was ready for that, wengi wameshapoteza maisha kuanzia kina Ben saanane, Kibao, Mdude ..yana mwisho lakini
 
Ni suala tu la muda. Kama mnataka watu waingie barabarani ili muwaue kwa wepesi, muda ni rafiki mzuri. Hata yule Hamza aliye walamba risasi mchana kweupe, na yeye imdharau kama mnavyo wadharau wananchi wengine.
 
Muda upi sasa? Kwahiyo unaogopa kufa? Hamna mabadiliko yanayokuja kirahisi rahisi lazima jasho na damu imwagike
 
Write your reply...nitafurahi kusikia kafa asidhani nimesahau alivyo vunja maduka yetu tena usiku bila taarifa pale mbezi yeye akiwa dc wa ubungo
Mkuu, pole pole alitubu mbele ya uma wa Watanzania, na wote wamemsamehe, alianza upya,
 
Muda upi sasa? Kwahiyo unaogopa kufa? Hamna mabadiliko yanayokuja kirahisi rahisi lazima jasho na damu imwagike
Kuna wameumbwa na hatima ya kitaifa, kufa kwao ni jambo dogo sana, mkuu
 
Polepole kasisaliti mwenyewe hakuna wa kumlaumu hata kidogo...alijua kabisa hali ilivyo akaendelea kuwa nchini
 
Mkuu, pamoja na kuwa Butiku katoa upupu lakini huenda siyo yeye amemchomea. Hata hao wasaidizi waliokuwa wanakaa naye inawezakana nao wameshapotozwa. Inawezekana kabisa walitekwa kabla na kuteswa ili watoe info zote na wao wamepotezwa. Sasa tunarudi walijuaje alipo? Kwangu mimi, kukaa sehemu kama Dar ilikuwa ni very risk. Watu wakitaka ku-trace target, huwa wanafuatilia ndugu, jamaa na marafiki 24/7. Kila ndugu wa karibu, rafiki anafuatiliwa nyendo zake muda wote wakiwa na tumaini kuwa ni lazima atapeleka mahitaji au atakwenda kumuaona. Kitu kingine: Ukitumia vyombo vya electronics kama simu huko salama sana.
 
Ni suala tu la muda. Kama mnataka watu waingie barabarani ili muwaue kwa wepesi, muda ni rafiki mzuri. Hata yule Hamza aliye walamba risasi mchana kweupe, na yeye imdharau kama mnavyo wadharau wananchi wengine.
Wakati wa Mungu ukifika kila kitu kitakuwa shari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…