Atakuwa salama inshallah!kwa zile damu, sijui ama hhumprey yu salama huko aliko...
mwenyezi Mungu amsaidie...
UsalitiWatu wote walio husika ktk usariti huu ,juu ya Humphrey pole pole na kutwa na hao , wata talipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapogamia haki ya watanzania wanyonge alafu wewe tamaaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni ww Mzee btk, au ni nyie wasaidi wake, au ni ww kwenye nyumba? Utalipia kwa usariti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga I'li waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vulugu. Huyu mzeee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za hp, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde hp ,popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji
Atakuwa salama inshallah!
watekaji wameacha kila kitu hadi laptop, kwamba walikuwa wanamtaka yeye tu. Sio poa aisee
Wasaliti wa kwanza ni vijana wa tzWatu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe tamaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni ww Mzee Btk, au ni nyie wasaidizi wake, au ni ww kwenye nyumba utalipia kwa usaliti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga I'li waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vulugu.
Huyu mzee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za hp, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde HP, popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji
Hivi usikute na yeye akapotezwa kirahisi tu kama alivyopotezwa Mdude_Nyagali. Na wananchi tulivyo mazombi, tutabweka siku mbili tatu, halafu maisha yanaendelea!kwa zile damu, sijui ama hhumprey yu salama huko aliko...
mwenyezi Mungu amsaidie...
Ulitaka awe wapi? Huyo ndiye mzalendobinafsi sielewi kwanini hamphrey alikuwa anafanya hayo akiwa hapa hapa,nimeshangaa sana.
Ila kwenye maelezo yake yote hakuna mahali alimtukana mtu! Isipokuwa aliamua kusimama kwenye kile anacho kiamini! Ni bahati mbaya sana ndani ya hizi awamu mbili tumepata bahati mbaya ya kutawaliwa na watu wasiopenda kusikia maoni tofauti na yake wanayo yapenda.binafsi sielewi kwanini hamphrey alikuwa anafanya hayo akiwa hapa hapa,nimeshangaa sana.
Nashukuru umeanza kuelewa kwanini nilikua nakwambia nyie ni waoga kama Nyumbu atachukuliwa mmoja mmoja hadi muishe kwasababu mikwara yenu inaishia mtandaoni na mmejaa unafiki, siku zote comments na likes zilikua zinajaa kwake kila akiongea kumaanisha mpo pamoja nae leo katekwa mnaishia kusema Mungu yupo, kwanini msiandamane leo hii kwaajili yake na kwaajili ya watu wengine?Hivi usikute na yeye akapotezwa kirahisi tu kama alivyopotezwa Mdude_Nyagali. Na wananchi tulivyo mazombi, tutabweka siku mbili tatu, halafu maisha yanaendelea!
Dah! Inaumiza sana.
Wakiwa nje mnasema wamekimbia nchi sometimes punguzeni lawama cha msingi polepole tunataka akiwa mzimabinafsi sielewi kwanini hamphrey alikuwa anafanya hayo akiwa hapa hapa,nimeshangaa sana.
DuhHaphrey polepole ametekwa mkuu