Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,114
- 9,280
Haha inachekesha upande WA software anaongoza apple na wanaomfatia point zao zinatofautiana wakati wote wanaeka windows. Au sku hizi kuna windows ya Lenovo na ya dell.
Hapo kwenye review na tech support panahitaji maelezo zaidi.
Hivi Kampuni gani ina Ultrabook nzuri?
Na kuna za size ya 15.6"
Kwa tz naona Asus zimetapakaa nyingi ni rahisi kuzipata.
Worldwide bila kuangalia bei ni Lenovo ThinkPad series
Wanatengeneza size kama 15.6" au ni 13.3" tu?
Zipo Hadi za 17 inch hizo za 15 ni za kumwaga tu.
Ukweli ni kwamba hao manufacture hawa ship tz Bali bi sisi tunavifata tunavileta.Shida ya wazungu wanatengeneza bidhaa kwa madaraja, utaona hizi ni grade a, b, c, d, mara hizi build for africa. Ukiangalia hapa bongo dell vimeo, ila dell za u.s bana daaaaah utakataa. Mie nshawashtukia. Apple zinaonekana bora maana ndio izo izo ambazo wanatumia u.s na sisi,tunazitumia. Ila hawa wengine wanatuzingua tu