Best video converter chukua hapa

Best video converter chukua hapa

DanielP

Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
97
Reaction score
25
Kwa wale wanaotaka kubadilisha fomat mbalimbali kama za ps3 iphone ipod android dvx dvd vcd hd dvd na zingine nyingi yaani utapenda itatoa quality za simu vizuri kuliko converter nyingi ninazozijua mimi wale wa mobile wataipenda xilisoft.jpg

leteni feedback coment or stars nijue kama keys zimekubali
 
Hapana mkuu mbona niyakawaida sana mi natumia format factory ku convert kila kitu mpaka file ila iyo yako ninayo kuna muda mwingine mimi huwa natumia window 7 home pre huwa idm yangu nikiiweka kwenye hiyo window youtube napewa video zenye format ya web ikijaribu kuiconvert kwa iyo yakwako inagoma ila format factor inakubali kwa kila format
 
freemake software nayo ni nzuri, au Any Video Converter.........simple to use.....ngoja nidownload na hii lakini,inaweza nisaidia one day..thnx
 
freemake software nayo ni nzuri, au any video converter.........simple to use.....ngoja nidownload na hii lakini,inaweza nisaidia one day..thnx

ok we chukua tu itakusaidia leo tena wajanja 2013-03-20 13_51_13-Internet Download Manager 6.png USIKU MWEMA
 
Mpaka Leo Hii My Favourite Ni Aimersoft Conveter.... Sfa Zake N Hz

1. inafanya Kaz Kutokana Na Uwezo Wa Pc Yako.. hapa Na maanisha kama Procesory Yako Ni Dual Core Bas Itakua Ina ConveRT v2 viwili Kwa Mpigo Kwa Mda M1... na Kama Ni QUAD CORE bas itaanza Kuconvert Items 4 Kwa mpig6

2. Inasuport Fomart Mpaka Ya Webm... conveter Nyng Hazisuport Hii Fomart [simaanish zote] Ila Hii N Moja Ya Conveter Yenye ku Suport hio kitu!

3. Unaweza changanya data za aina mbali mbali... converter nyng kama ukiweka vdeo bas znazofuata ziwe vdeo! Kama ni mp3 n mp3 tuu... Ila hii unaweza changanya v2 na ukavifanyia seting kuwa unataka output zitokeje! Na ikaanza ku Convert The Way Unavyotaka...


Zaid ya hapo kdogo natumiaga free studio
 
total video converter ndio mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom