Best version of windows 7 for samsung note book N100S-E02

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,101
Kama kuna mdau ana ufahamu wa hii kitu msaada tafadhali, natumia windows 7 ultmate lakini naona nzito sana
 
windows 7 starter ndio uwa mahususi kwa hivo vi mini laptop
 
Back
Top Bottom