Mdau anahojiwa ktk kipima joto ITV kachapia mchapio ambao sijategemea kabisa
"Yaan serikal kaz yake ni kuja tu na kauli mbiu lakin hakuna cha maana ,saiv wameleta hii BEST RESULT DAY ooh sorry Big result now "
Sijui alikuwa anawaza nini duh nimecheka kweli.