Best rapper ever..!

Best rapper ever..!

88-95 Nas alikuwa kwanza bado nas amekuja kutake over after 98 kuja huku kipindi ambacho pac ameshaondoka
Ofcos Nas ana flow nzuri,
Pia lyrics zake za kiutuzima zaid, ni waz kuwa ni one of the greatest lyricists in hip-hop.
 
Ofcos Nas ana flow nzuri,
Pia lyrics zake za kiutuzima zaid, ni waz kuwa ni one of the greatest lyricists in hip-hop.
Pitia ranking sites zote
Utaelewa huu mchezo
2pac Jay
Nas Rakim
Biggie andree eminem
 
Why nas
Nitakutajia vitu vingi saana.

1. Lyrics. Sio mtu wa kawaida
2. Best story teller fuatilia track nyingi za nas he's a ghost in story telling
3. Aliweza kumdunda aliyeaminika ni illiest rapper ever duniani Jay z. Japo kuna watu wanakataa mpaka leo.
4. He's a gentleman.. huwezi kuta anaimba mambo ya kitoto kitoto.
5. Huyu jamaa pia ni sauti ya mtaa.. ni sawa na mtu kama nikk kwenye media hazungumziwi but street ukikaa na watu anaongelewa.
N.k vigezo binafsi
Sauti ya mitaa wapo wengi kaka kama Common,Twalib Kweli,nadhani Kendrick watu wanamweka kama best hip hop emcee kwa sasa kutoka na mashairi yake yanalenga jamii I think yy na Joe Cole wanaongea zaidi kile maisha ya black yalivyo
 
Pitia ranking sites zote
Utaelewa huu mchezo
2pac Jay
Nas Rakim
Biggie andree eminem
Ntafatilia ninja,ila NAS kadumu muda mrefu ila nilikubali zaid lyrics zake kwenye albamu ya pamoja na Damian marley,hasa ile ngoma ya patience& strong will continue.
 
Why nas
Nitakutajia vitu vingi saana.

1. Lyrics. Sio mtu wa kawaida
2. Best story teller fuatilia track nyingi za nas he's a ghost in story telling
3. Aliweza kumdunda aliyeaminika ni illiest rapper ever duniani Jay z. Japo kuna watu wanakataa mpaka leo.
4. He's a gentleman.. huwezi kuta anaimba mambo ya kitoto kitoto.
5. Huyu jamaa pia ni sauti ya mtaa.. ni sawa na mtu kama nikk kwenye media hazungumziwi but street ukikaa na watu anaongelewa.
N.k vigezo binafsi
6. Sio tozi!
 
Ntafatilia ninja,ila NAS kadumu muda mrefu ila nilikubali zaid lyrics zake kwenye albamu ya pamoja na Damian marley,hasa ile ngoma ya patience& strong will continue.
Who wrote the bible? Who wrote the Quruan? Sio haha
 
Kendrick habari nyingine kabisa. Sina hata haja ya kuongea sana maana sijui hata pa kuanzia. Doh!

- Amini nakwambia
 
Pac still tops my chart. Kendrick comes the 3rd best. Slim Shady rocks the 2nd place.

Kendrick Got:
1.The best wordplay.
2. Great Storytelling skills.
3. Great character switch.
4. Intelligent subliminal shots to rivals.
5. So much energy and performance skills.

Kendrick is type of a nigga who maneuver the game the ways he wants.

My take: Kendrick is going places. No dickridin' at all, truth be told, our nigga is furnace.
 
Back
Top Bottom