Best Nokia symbian..

Best Nokia symbian..

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,106
Jamani salam wakuu,
najua mko poa. Leo nataka tujadiliane kuhusu hili kwani nataka kujua na ikiwezekana nilifanyie kazi wazo lenu.
Mimi nataka kujua aina gani ya NOKIA SYMBIAN ambayo ni bora kuliko zote? Nasema hivi kwani nimetumia baadhi ya hizo nokia symbians.

Nimetumia N77 hii ilikua haijanivutia kabisaa.
Nikaja nikapata E51 kweli ilikua poa kiasi
pia nimetumia nokia N90 8GB Hii haikunivutia saaana kwa ilivyo na ilivyokua.
pia nimetumia E65 hii iliniboa kitu kimoja tuu japokua ilikua potable ilikua haina redio.
Nikatumia E71 niliipenda mno nikajua nimefika kumbe inaniaga kimya kimya mwisho wa siku nikawekwa kati nikaitoa (iliibiwa rest in peace my E71)

sikuishia hapo wala sikuchoka majuzi nikapata E72 humu humu jukwaani nikaitumia nikaanza kuipenda kwa sababu ilikua na features nzuri sana hivyo nikaiweka kwenye MY TOP BEST NOKIA SYMBIAN ikafatiwa na E51.
Kitu kingine wakubwa nimetumia Nokia Eseries na Nseries ila nazikubali Eseries sanaaa mpaka najishangaa.
Hivi mnadhani kati ya Nokia Symbian zilizotolewa na nokia ipi IS THE BEST MORE THAN OTHER NOKIA SYMBIAN??
Maoni yenu nayahitaji?
 
nokia e5, e7,c7,c6,n8,n9 ...hizo ni bunduki .. Kama mpenzi wa pich go for nokia n8(megapixels 12 internal memory 16gb)
 
nokia C7 na E71 ndio mwisho wa maneno...hata Samsung wamethibitisha hilo
 
in my opinion, E72 is de bomb in symbian s60. Optical trackpad, double camera, slick design keyboard, digital compass, long battery hrs, GPS, even a torch(flashlight)! Not to mention it's cheap price compared to other phones with the same features!!!
4 me, it's the best symbian s60 nokia
 
E71 mwisho wa yote. Lakini ngoja tumsubiri mzee wa nokia chief mkwawa,msemaji wa kampuni aje hapa.
 
mimi napenda cameraphone
kama unapenda cameraphone kwa symbian chukua nokia 808 pureview kama unahela maana ni kama laki 9 na kama huna hela nunua nokia n8 ambayo ni bei rahisi. Nokia 808 ina 41 megapixel camera na ndio cameraphone bora duniani bila ubishi.
Inatumia symbian belle na ndio symbian pekee ilobakia kupata support
nokia-808-pureview.jpg

n8 ipo powered na 12 megapixel na ndio cameraphone ya mwanzo inatumia symbian anna na inaweza ku upgrade kwenda symbian belle
nokia-n8-silver.jpg

mimi sipendi touch screen
hapa utakua na option 2 kwenda kwenye qwerty au candybar kwa qwerty simu bora ni e5 kwa sababu ina ram na processor kubwa kuliko symbian zote za qwerty processor 600mhz na ram 256 mb
nokia-e5-ofic.jpg

kwa simu za candybar nokia c5-00 ni bora zaidi ikiwa kama e5 kwa specification sema simu hii imemiss tu wifi support
nokia-c5.jpg

mimi napenda touch na type
hapa simu nzuri ya symbian yenye sifa hio ni nokia e6 ikiwa na symbian ana na kua upgraded to symbian belle kama vile n8 ina screen ndogo kwa macho na kubwa kwa resolution na clear screen bila kusahau 8 megapixel camera
nokia-e6-00-ofic.jpg

mimi napenda touch screen tupu
kuna twins hawa wawili nokia 700 na nokia 701 myself naprefer 701 sababu ina front camera lakini 700 ina muonekano mzuri zaidi.

Hizi simu zinakuja na belle na ukiupgrade kwenda belle fp2 processor inaenda hadi 1.3 ghz kwa symbian ilivo light ni very fast zipo smooth na nokia 701 ndo simu yenye brightness kubwa duniani kama unayo ongeza hadi mwisho toka juani uone utavokua suprised.

nokia-700.jpg

nokia 700 ina storage 2gb ram 512 na rom 1gb processor ndo hivo zaidi ya 1ghz inshort ipo kisasa sema haina front camera hapo ndo imezidiwa na 701

nokia-701.jpg

hii ina storage 8gb na front camera vyengine kama nokia 700

kwa upande wa nokia n9 sio symbian lakini ni nzuri kuliko symbian ina meego ambayo ni nzuri kwa moding.

Mpaka sasa n9 inauwezo wa kuboot operating system 7 kwa mpigo.
 
umeenda kiproffessional zaidi,hapo penyewe kaka
 
Samahani mkuu kama nitakuwa nimetoka nje ya topic , Kama unataka kuwa na wigo mpana kwenye smartphone features na apps , Android" way is the best
 
samahani sana kama na mimi nimetoka nje ya mada ila n9 os yake inaboot os nyengine ikiwemo hio android so android kwa n9 ni app tu na sio os so nafkiri ina wigo mpana zaidi
 
So unaweza kupata play store kwenye nokia?
 
Mkuu pumzika kwenye Nokia Lumia.
 
nokia e5, e7,c7,c6,n8,n9 ...hizo ni bunduki .. Kama mpenzi wa pich go for nokia n8(megapixels 12 internal memory 16gb)

kaka umechapia hapo... Nokia n9 inatumia meego hamatan if im not mistaken ts not asymbian gadget... Pia hata n900 nayo sio symbian n meego\maemo
 
Nashukuruni sana wakuu salute.
 
8310 au E71 ndo mpango mzima

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Tatizo symbian wana developers wachache ukilinganisha na Android na ios.
Ila battery hudumu Zaidi.
Sent from my LT26i using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom