Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,024
- 72,343
Kuna ngoma kaimba na mshkaji wake inaitwa Tuma. .bonge la ngoma. .labda bush face ndo inamuangusha maana jamaa amekaa kikanda ya ziwa sana usoni
Jamaniiiii looo sema tu ana sura ngumu lakini siku hizi kapendezaaaa