Best male suits in Dar

Best male suits in Dar

Joined
Jul 21, 2012
Posts
86
Reaction score
21
Suti!!!! suti!!!! suti!!!! suti!!!! suti!!!! suti!!!!,

Kwa mara nyingine tena, Lorenzo Laigwannan fashion classics, wasambazaji wako wa jumla na rejareja wa suti kali za kiume kwa ajili ya harusi/matukio pamoja na zile za kiofisi, tunakufahamisha kuhusu discount kubwa ya mwaka 2015! Lorenzo inakupatia suti ya chaguo lako kwa bei nafuu kabisa ya sale..tafadhali tupigie simu sasa..mwisho wa sale hii ni July 30 2015..

attachment.php

Tunazo suti za aina na size mbali mbali zikiwemo slim fits za kisasa, tuxedos na traditional office suits. Suti zetu ni zenye ubora wa hali ya juu kabisa zikiwamo kutoka Uturuki na Thailand.

Tafadhali tembelea lorenzofashionsdar.blogspot.com na/au piga simu namba 0757-429-923/0765-442-493 kwa maelezo zaidi!

Karibu sana,

Lorenzo fashionsDar
 
Unagawa bureeee!
 
Weka bei
 
Hii ni discount ya mwaka wakuu tafadhali piga 0757-429-923 au 0765-442-493 kwa maelezo zaidi..bei ni nzuri kabisa.
 
weka bei elekezi.. isije mtu akahangaika kukupigia na budget yake ya sh elf 80.. mkamwambia bei ya punguzo ni laki 7 kwa suti...
 
Hivi kwann watangaza biashara karibia 95% hawaweki bei humu?wanaogopa nini?ushaonaa matangazo kwenye tv wanasema ukitaka bei piga simu au tuma msg???
 
Ukiona hivyo ujue ni dalali, anaogopa mwenye nayo akigundua atamaindi
 
hujui kufanya biashara na wala hutaki kujifunza
ushaambiwa eka bei unificha huko

HEY
Mkuu naona tutafute kwenye mtandao - si anasema zinapatikana kutoka Uturuki na Thailand, tena kama nakumbuka vizuri Watruki walikuja mwaka jana kwenye maonyesho pale Diamond Jubelee - walihuza suit kwa bei nzuri tu.
 
Jamaa kagoma kuweka bei huyu ittakua ni blocker.
 
Ngoja tuweke bei wenyewe mana yeye kashindwa. mkuu nina 120k fasta hiyo ya kwanza.
 
Back
Top Bottom