Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Wakuu in My long vacation nataka niwe na skills za hii kitu na kwa kuwa kuna wababe wa haya mambo
basi mwenye kuwa na Vitabu in soft copy vizuri vinavyo fundisha kwa illustration naomba link au ni attachie hapa
Pia kama kuna websites nzuri kwa hii kitu naomba pia
Najua vitabu ni vingi mno na sio vyote ni vizuri ndo maana nikaomba msaada
Visit alphonce.NET - IT video training site
Hapo utapata web designing video training courses kama HTML, Joomla, Wordpress, PHP, Java and many more
sasa mbona hazi downloadiki nimejaribu moja ya free imekataaa
kama ni businness ni PM
Wakuu in My long vacation nataka niwe na skills za hii kitu na kwa kuwa kuna wababe wa haya mambo
basi mwenye kuwa na Vitabu in soft copy vizuri vinavyo fundisha kwa illustration naomba link au ni attachie hapa
Pia kama kuna websites nzuri kwa hii kitu naomba pia
Najua vitabu ni vingi mno na sio vyote ni vizuri ndo maana nikaomba msaada
Visit alphonce.NET - IT video training site
Hapo utapata web designing video training courses kama HTML, Joomla, Wordpress, PHP, Java and many more
Nope itakulemaza. Check na Geany. Geany : Home Page
Hii tool nayo si itanisaidia
Dream weaver
njunwa wamavoko hii software kwa wewe begener itakuchosha maana kuna mda utaitaji kuedit au kuadd code moja moja ni vyema ukatumia simple text(notepad) au download notepad++ alafu kuhusu vitabu nikienda ofisini nita attach pia usichoke kupitia tutorials zangu za html na css pia naendelea mda si mrefu na mfumo mpya nadhani tutakuwa pamoja
Hii tool nayo si itanisaidia
Dream weaver