Best Friend

AishaAbdulAziz

New Member
Aug 27, 2010
2
0
You may not be an angel

'Cause angels are so few,

But until the day that one comes along

I'll string along with you.
 
You may not be an angel

'Cause angels are so few,

But until the day that one comes along

I'll string along with you.

Warmly welcome Aisha....! Welcome to the home of "Great Thinkers". And let us share our great thinking.
 
Padri na Shehe walikutana kwenye ndege na wote walikaa siti moja, baada ya kusalimiana kila mmoja alitulia kufikiria safari. Katika ya safari Padri aliagiza kitu moto, baada ya kuletewa alimkaribisha jirani yake Shehe.
Padri: Karibu rafiki.”

Shehe: mimi huwa situmii kiti moto ni haramu.”
Padri: Ooh, unakosa uhondo hakuna chakula kitamu kama kito moto.”
Safari iliendelea mpaka mwisho na abiria wote kuteremka akiwemo Padri na Shehe. Baada ya kuteremka waliagana kwa vile walikwisha jenga urafiki ndani ya ndege Shehe alimuaga Padri.

Shehe: Kwa heri rafiki msalimie mkeo.”
Padri: Ooh, sisi Mapadri huwa hatuoi.”

Shehe: Ooh, mnakosa uhondo hakuna kitu kitamu duniani kama kuwa na mke.”
Swali nani anakosa uhondo kati ya watu hawa?
:lol::violin:
 
Padri: Karibu rafiki."

Shehe: mimi huwa situmii kiti moto ni haramu."
Padri: Ooh, unakosa uhondo hakuna chakula kitamu kama kito moto."
Safari iliendelea mpaka mwisho na abiria wote kuteremka akiwemo Padri na Shehe. Baada ya kuteremka waliagana kwa vile walikwisha jenga urafiki ndani ya ndege Shehe alimuaga Padri.

Shehe: Kwa heri rafiki msalimie mkeo."
Padri: Ooh, sisi Mapadri huwa hatuoi."

Shehe: Ooh, mnakosa uhondo hakuna kitu kitamu duniani kama kuwa na mke."
Swali nani anakosa uhondo kati ya watu hawa?
:lol::violin:

hii inakujaje hapa?.....au jukwaa lake limefutwa?...
 
bora kukosa kitimoto kuliko kukosa mke.

Shehe anafaidi zaidi hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom