Cr7 mnyama hawezi kuingia kwenye kundi la mafundi wa kutumia miguu yote, cr7 anaweza kupiga shuti kali kwa wa kushoto, lakini sio kuchezea mguu wa kushoto kama kina dembele..

Santi ana daraja lake peke yake.
Anachokifanya mguu wa kulia kwa ustadi ndicho mguu wa kushoto kinafinyika kwa ustadi ule ule, yule Mbwa Hana weak foot.