Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,114
- 9,280
Antutu sio benchmark nzuri. Inshort ni ngumu kupata benchmark nzuri ya simu
Chief-Mkwawa
Mkuu Nakuheshimu sana tena sanaaa!
Unajua Maana ya SI UNIT ?
Hapa nimesema kama mtu ananyingine yeyote alete, nachojua mimi kama unapima kitu basi ni lazima ukipime kwa vigezo vilevile, sasa kama simu zote tukizipima kwa Antuntu na tukapata majibu kwa nini tuwe nawasi wasi?
Au mnataka kuniambia Antutu inakula njama na MTK ?
basi kma ni hivyo naombeni hiyo amabayo haina uhusiano na MTK tutumie kama Bench mark kwa simu tunazotaka kuzipima.
Hapo ndipo napotoa shikamoo kwa CHIEF MKWAWA!utamwelewa~MFANO,
chip inayokuja ya mediatek itakuwa na core 10, kiuhalisia simu yako inatumia core 1 au 2 tu.
then ikafanyiwa benchmark ukapata score ya 100,000 wewe utafurahi utaona ni processor powerfull lakini kumbe ni kimeo. single thread perfomance ni ndogo ila inasaidiwa na core nyingi. mfano huu ni kama intel vs amd. intel yeye processor zake ni dual core au quadcore (mainstream) ila zinazipita processor za amd zenye core 8
siku hizi soko la simu limejaa sana gimmick, zamani qualcom kidogo alikua anajitahidi kutengeneza chip nzuri za krait ila mwaka huu nae kapotea.
processor ya ukweli ni ya apple tu mwaka huu na atleast exynos 7 inajitahidi.
Thats Meizu MX 4 Powered by MTK 6595.
Kama wewe unadhani Kuna bora zaidi ya hiyo for 2014. Tuambie na utuletee |Bench marcks zako hapa tuone,
Tuache kukariri na porojo kuwaongepea watu na kuwatisha an kuwakatisha tamaa watu.
Nimesema Nina Miliki z Min mwezi wa pili sasa na sijaona nyingine ya laki nne, yenye Ubora kama hii kama unayo nyingine ya 2014 yenye Ubora huu na bei hii Njoo hapa na Bench marks zako na sio manenomaneno.
Kama mie ningeambiwa kuzipanga
1. Xaomi
2. Lg G3
3. Sony Xperia Z3
4. Huawei ascend Mate 7
5. Samsung S5
6. Iphone 5s
7. Nexus 6
8. Samsung Note 3
9. Lg G pro 2
10. Huawei P6
MFANO,
chip inayokuja ya mediatek itakuwa na core 10, kiuhalisia simu yako inatumia core 1 au 2 tu.
then ikafanyiwa benchmark ukapata score ya 100,000 wewe utafurahi utaona ni processor powerfull lakini kumbe ni kimeo. single thread perfomance ni ndogo ila inasaidiwa na core nyingi. mfano huu ni kama intel vs amd. intel yeye processor zake ni dual core au quadcore (mainstream) ila zinazipita processor za amd zenye core 8
siku hizi soko la simu limejaa sana gimmick, zamani qualcom kidogo alikua anajitahidi kutengeneza chip nzuri za krait ila mwaka huu nae kapotea.
processor ya ukweli ni ya apple tu mwaka huu na atleast exynos 7 inajitahidi.
Kibanga ampiga mkoloni.
Mkuu wangu tatizo unatumia hasira sana na nnadhani umetoka nazo kwenye ile thread ya Tecno. Hii inawezapunguza uwezo wakufikiri.
Benchmark ni kama tu alivyosema chief mkwawa, huwa kuna ujanja ujanja mwingi sana unaofanywa na hawa manufactures ili kutafuta sifa kupitia hizo Antutu test, na sifa moja wapo ni kama unayowapa wewe hapa kupitia hizo chipset walizoeka kwenye device zako hapo juu.
Mfano mdogo ni wewe ukiona kitu flani kina aminiwa na users kupima device zote ikiwemo yako, hivyo basi wewe ni lazima ufight ili upate score kubwa kupitia kile kifaa na ndipo ujanja ujanja unaibuka hapa.
Wanaotengeneza chipset huwa wanazi white list application flani zinazofanya benchmark test ili zisome score kubwa kuliko kawaida, lakini in real sense unakua ni uongo, ndomana inatupa tabu kuziamini benchmark test.
Mfano record hizi ulizoweka hapa unaeza kuwa unaziamini wewe tu.
Manufacture anaweza akaamua tu application yako iwe slow kwenye device yake na ukaona application nyingine zinaji optimize fresh.
kwa sas duniani hakuna Benchmark bora kama Antutu, na inamainika wacha wakina Samsung amabo waligundulika kufoji lakini wengine hawafanyi hivyo. na hii inaheshimika kote duniani, sasa wewe nani leo JF useme ANtuntu sio kitu?
Duh!
haya kaka!
Ila bado mimi shida wangu ni watu wao puuza TECNO, ambpo mimi nilitoa mfano kuwa nimenunua TECNO ya Laki 4, na kw abei hiyo naamini kwenye soko hakuna simu kama hiyo kwa bei hiyo.
so value for money Z min yangu ipo juuu ya hizo zingine za makampuni mengine.
Hii ndo list ya Benchmark test apps bora, ikiongozwa na Vellamo
1- Vellamo
2- Antutu
3- Geekbench2
4- Sunspider
5- GLbenchmark
5 best Android and iOS benchmark tools | TechRadar
Kwahiyo kama Antutu imeshika nafasi ya pili, hiyo inatupa picha yakwamba haiaminiwi sana, kama ulivyodai wewe hapa.