africa hakuna democrasia ya kweli hata siku moja kwasababu viongozi wengi au watawala wengi ndani ya vyama vyao wana system za wizi mtupu kwa hiyo wanajaribu kwa kila namna kuiba kura ili kuogopa kushtakiwa kwa maovu wanayoyatenda na ndio maana wapo tayari kugharimu kwa gharama yeyote ile wizi wa kura pamoja na kuendeleza tabia zao za wizi ndani ya utawala wao cha muhimu hapa ni kutwaa madaraka kwa nguvu tu huyo museven hana tofauti kabisa na mugabe yaani kasoro zao ni kwamba tu mugabe kakaa miaka mingi madarakani!