Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,931
Huu ni ujinga kabisa kupakana matope
Hapo Kati cheusi Ni topee au
Inashangaza sanaUpuuuzi kiwango cha flaiova
😀😀Write your reply...
halafu watu hawa ndo wanaitwa timu ya taifa ili watupeleke afcon nchini cameroon...
😀😀😀A-level nilikuwa natangaza vita hakuna wa kunifanyia ujinga huo.
Wengine walikuwa wanapigwa mikanda na makofi eti ni pongezi ya birthday.
Sure mkuuUkiona mtu anakubali kufanyiwa hayo mambo ujue yeye na hao waliomchafua wana ujinga sambamba.
Nadhani ni boxerHapo Kati cheusi Ni topee au
Du!!Nadhani ni boxer