Subiri ana kuja. Usiwe na haraka maana kuna watu mtapelekwa hosipitaliAnayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake ya kutafuta wadhamini.
Sasa ikija kwa Bernard Membe, si ajabu ukimwuliza Mtanzania wa kawaida barabarani kuwa jana au leo Membe alikuwa wapi, sidhani kama kuna mtu ataweza kukuambia.
Kwa Lissu hali ni tofauti kabisa. Majuzi ile alikuwa Ikungulyabashashi. Juzi alikuwa sijui Arusha au Kilimanjaro. Jana alikuwa Iringa au Morogoro....
Sasa huyo ‘jasusi mbobezi’ yeye yuko wapi?
Hata vile vijembe vyake dhaifu kule Twitter naona hatoi tena.
Isije akawa keshaguswa na sasa ananuka!
Jamaa ni dhaifu sana. Siasa naona haimkubali. Haiba yake haiendani na mikikimikiki na mashamsham ya kisiasa.
Nimetumia neno ‘sijui’ mara moja tu kwenye bandiko zima!Sasa kama unajua mahali Lisu alipo mbona 'sijui, au' zipo nyingi sn? Wewe siunafahamu exactly mahali alipo?
Mkuu, nikiyataja si nitakuwa nimetukana tena? Kwa kweli staji mkuu
Anayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake ya kutafuta wadhamini.
Sasa ikija kwa Bernard Membe, si ajabu ukimwuliza Mtanzania wa kawaida barabarani kuwa jana au leo Membe alikuwa wapi, sidhani kama kuna mtu ataweza kukuambia.
Kwa Lissu hali ni tofauti kabisa. Majuzi ile alikuwa Ikungulyabashashi. Juzi alikuwa sijui Arusha au Kilimanjaro. Jana alikuwa Iringa au Morogoro....
Sasa huyo ‘jasusi mbobezi’ yeye yuko wapi?
Hata vile vijembe vyake dhaifu kule Twitter naona hatoi tena.
Isije akawa keshaguswa na sasa ananuka!
Jamaa ni dhaifu sana. Siasa naona haimkubali. Haiba yake haiendani na mikikimikiki na mashamsham ya kisiasa.
😄😄😄😄😄Kama Shetani angeweza kushitaki, usishangae angeenda kuwashitaki watumishi wote wa Mungu kwa jinsi wanavyomkemea kwa lugha kali
😄😄😄😄😄
Daah, umefikilia nini mkuu, si unajua tena shetani yeye ni king'ang'anizi
Kumbe wakati mwingine akili zinakurudia, Mbowe siyo mtu mzuri.Yeye ni mwenye kila kitu hana haja ya kuhangaika
Mshauri wa ACT wasije kukusikia😀Miongoni mwa watu wanaoitwa wanasiasa ninaowadharau na kuwachuulia poa ni membe
Hapo ndo mnapokosea hata 2015 story zenu zilikuwa hivi hivi mkashindwaTISS nzima inamsupport BM, jiwe ajipange
Tatizo lako huna akili kugundua hiyo comment imebeba ujumbe gani ndani yake. Kweli wewe ni zaidi ya mcheza futuhi akili hunaKumbe wakati mwingine akili zinakurudia, Mbowe siyo mtu mzuri.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kweli wewe ni mdoliHapo ndo mnapokosea hata 2015 story zenu zilikuwa hivi hivi mkashindwa
Orodhesha hayo matusi hata matatu tu wanayotukana hao watu unaosema. Orodhesha tu labda hatuyasikiiKwa nchi kama yetu, watu wengi ni wa hovyo Sana, ingawa ni Jambo la muhimu na lazima, Ila wengi badala ya kuongea ki staha, wanatukana tu Kwa kila Aina ya matusi
Na hata Mimi nigekuwa tu kama Magufuli,
Mkuu mbavu zangu, haaaa haaa🤣Huenda wala hakukuwa na watu nyuma yake.
Si ajabu yalikuwa ni maruerue na yeye akadhani ni watu 🤣
Siku zote mahali pengi sana kachero mzoefu huwa hana kustaafu kazi bali upumzika tuMembe si jasusi tena kama wengi walivomezeshwa. Alitoka katika kitengo cha usalama muda mrefu sana kipindi cha Nyerere huko nyuma. Watu wengi wamepita na mifumo mingi imebadilika hana tena mizizi huko usalama wa taifa. Imebaki ni CV tu hata haiwezi fanya chochote.
Wachana na huyo vuvuzelaOrodhesha hayo matusi hata matatu tu wanayotukana hao watu unaosema. Orodhesha tu labda hatuyasikii