Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,437
Huenda wala hakukuwa na watu nyuma yake.BM anashangaa jinsi watu waliosema wako nyuma yake walivyokimbia
Kama kweli Membe alikuwaga jasusi, basi atakuwa alikuwa jasusi wa hovyo sana...Membe anafanya mambo yake KIJASUSI.
..unataka aweke karata zake wazi ili mumpiku?
Hapo ndo ujue hakuna lolote!Anataka kumtoa madarakani bwana yule ....wa chama kile...
Eti membe naye ni mpinzani anaogopa kulitaja jina la mtu anayepambana naye na pia chama anachoshindana nacho anaogopa kukitaja jina
Kabisa!Hapo kumbuka vyombo vya habari vimepigwa marufuku ku-cover matukio ya TL.
Huyo jasusi bado hajaonja joto ya jiwe ya kuwa upinzani!Ninawasiwasi yupo anasuka mipango ya kumsaidia mwinyi kimyakimya huku akiwalaghai ACT kuwa yupo pamoja nao. hawa majasusi sio watu wa kuwaamini. Linapokuja swala la "maslahi ya taifa" huwa wanamisimamo yao...
Wewe ni Ngabu kweli, Sisi kwetu Jina Ngabu linamaanisha, ni mtu ambaye Kwa Wakati Fulani, njaa imemshika,bahati Nzuri pengine akakutana na mtu akampatia karanga za kutafuna, Wakati wakiachana tu na huyo mtu aliyemgea karanga, Mbele yake akamwona mtu ambaye naye ananjaa, huyo mtu akataka kuomba karanga Ili ale, matokeo yake aliyeombwa, akaztupia zote mdomoni mwake akimwambia Yule jamaa aliyeomba kuwa, nimemaliza karanga na mdomo umejaa karanga asiweze hata kuongea vizuri, hiyo ndio inaitwa amezi NgabuIsije akawa keshaguswa na sasa ananuka!
TISS nzima inamsupport BM, Magufuli ajipange..Membe anafanya mambo yake KIJASUSI.
..unataka aweke karata zake wazi ili mumpiku?
Kwa nchi kama yetu, watu wengi ni wa hovyo Sana, ingawa ni Jambo la muhimu na lazima, Ila wengi badala ya kuongea ki staha, wanatukana tu Kwa kila Aina ya matusifundamental freedoms za wananchi!