Bernard Membe Kumburuza Kortini Hussein Bashe: AK-47 Vs Mawe!

Achana kutuhangaisha na mambo yako ya kishambi, nenda huko na wewe ukawe mashahidi wa membe wako kwa vile ulikuwepo,akishida 2015 utakabiziwa wizari ya ushabiki.
 
Membe hakupata NEC....kihalali safari hii ...itifaki imembeba.....kuna Kijana mmoja ambaye baba yake alikuwa waziri wa kilimo Enzi za mwalimu...alikatwa...akawekwa Membe.....
 
Tusipoteze time kujadili magamba,acha yaburuzana mahakamai.Kwani vita ya panzi furaha ya kung'uru.CDM itumie mianya kama hiyo kusonga mbele zaidi
 
Membe hakupata NEC....kihalali safari hii ...itifaki imembeba.....kuna Kijana mmoja ambaye baba yake alikuwa waziri wa kilimo Enzi za mwalimu...alikatwa...akawekwa Membe.....

Membe anajua hakushinda hawezi kwenda kokote kwani aliyoyasema Bashe hakuna la uongo, Membe na Mukama kura za itifaki zilimbeba! Hadi LE Mutuz alikuwa kampita, zile kura zilikuwa ni za Godfrey Kunambi, busara ikatumika kumpa Membe, hata yeye anajua nguvu ya kundi hasimu hawezi fanya upuuzi!
 
Ningekuwa Bashe ningeanza Somalia. Bora apelekwe mahakamani tujuwe aliyemtuma.
 
Ningekuwa Bashe ningeanza Somalia. Bora apelekwe mahakamani tujuwe aliyemtuma.

Nimesikia ndani ya kambi ya Lowassa kuna vijana wanajifua ili kumteka au kumjeruhi Bashe au kumpa kipigo cha ukweli na kisha tukio hilo lihusishwe na Mhe. BM ili kumchafua na magazeti Fulani yatapewa hela ili kuunganisha pia tukio hilo na lile la Dk. Ulimboka. Bashe labda hajui hili na atajua baada ya kupata kipigo. Nashauri wasipoteze muda kumtia ngeu mwanakambi mwenzao ili kumchafua Waziri Jembe katika dipolomasia ya kimataifa duniani.
 

Membe hafai hata kidogo ingawa ww unamtetea kiongozi kama Membe hafai akiteuliwa na ccmafisi kugombea urais na kupata kweli tutakuwa tunarudia haya haya tunayoyaona ss. Hana udilifu hata kidogo anapenda kulipiza kisasi na akitaka kitu yuko tayari hata kuua. Alianzisha kesi katika wizara yake ili baadhi ya viongozi watoke na yeye kuweka watu wake na kweli amefanikiwa. Kama mtakumbuka iliyosemwa kuwa wizi wa mabilioni ikulu yote ile ilikuwa ni njama zake yeye ili afisa itifaki atolewe ili amweke wa kwake kwa ajili ya kupata habari kutoka kwa kikwete. Na kweli juhudi zake zimefanikiwa akishirikiana na Rizwani. Kesi imeisha na hakuna pesa zilizoibiwa, ilikuwa ni mambo ya kiofisi tu na hata yeye alikiri hivyo na kusema wangemaliza uchunguzi tangu mwezi wa nane lakini mpaka sasa Membe kagoma kuwarudisha kazini na bado wako nje na wanapokea mshahara pasipokufanya kazi. Kesi hawana sasa kuna haja gani kuzidi kuwasimamisha. Membe acha majungu na wivu na kuchafuliana majina.
 
km kawida ma agent kazini baada ya kizota kufungwa, kazaneni kumuosha membe mwaweza pata hata u DC au viti maalum
 

Mkuu watu wenye akili kuliko Lowassa mnayemuamini tulishuhudia karibu kila mgombea amejiteua au kuteua wakala katika chumba cha kuhesabia kura kwa hiyo hoja yako ni upuuzi. Kama ni kura za itifaki basi Membe angekuwa mbele ya Vimeo Kama Januari, Mwigulu na wengine.
 
Ukiwa ccm kubali kuwa mjinga
 

We kweli gamba kapi la mwisho
 

hi style ya uandishi wake ni zaidi ya kiushabiki kandika kama ameshika make maiki anatangaza mpira akiwa hajui anatangaza wa timu mbili ye akawaanatangaza kiushabiki wa timu yake
 
Kama ujatumwa na huyo mtu ambaye hata siku moja hawezi kuwa rais,nahisi utakuwa unampa 0713 mahaba yenu mkayafanyie huko huko,watu kama hawa mods watuache smtym tuwatukane kdg hata hvyo sikuachi hivi hvi lazima nikupe tusi moja kwa kijaluo,(membe ngo'tho olundi.)
 
toaneni meno,macho, hata segerea nendeni sisi yetu macho, panzi wapiganapo kunguru .......... Ccm panzi vs kunguru! 2015.
 
Wewe ni mgonjwa wa akili kwa kweli....membe kapitwa hata na shugera ndio unasema mgombea urais bas sema shigera ni rais kabisa
Ndio maana unajiita Fisadi Mtoto ,jina lako linaendena na matendo yako na ya kaka yako/mzee wako Fisadi Lilokubuhu!
 
hii nyumba nina wasiwasi inawaka moto kwa ndani, huu moshi tunauona si wa kupikia msosi ni nyumba inaungua, kibaya zaidi zimamoto wote wamefariki dunia na majirani wamekataa kutoa msaada wa kuzima
 
Nadhani kushika nafasi ya kwanza kwenye uchaguzi wa NEC nikigezo pekee cha kumpa mtu nafasi ya kuwa mgombea urais, maanake nakumbuka hata kipindi kama hiki Kikwete alishika nafasi ya 12 kwenye uchaguzi wa NEC wakati huo zilikuwepo nafasi 20, lakini haikumzuia baadae kuwania urais na akashinda.
 

Membe ni mtu wa majungu,mfitini na mchonganishi kupindukia. Maneno aliyosema Bashe ni ukweli mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…