Mtia nia ya urais na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano, Membe jana amenusurika ajali baada ya ndege aliyokuwa amepanda alimanusura igongane na ndege nyingine wakati akielekea Zanzibar kutafuta wadhamini.
Tatizo anafikiri ndege ni sawa na mabasi kugongana ovyo.
Air collision kutokea ni ngumu sana maana kwenye ndege kuna CAS ambayo inataarifu ukaribu kati ya ndege mbili ili pilot aweze kudivert course of travel endapo watakuwa wanasafiri kuelekea njia moja ambayo itsababisha wagongane.
Na pia ni mara chache sana kwa abiria kujua hilo
Alikuwa katika ndege akitokea Iringa kwenda Zanzibar kusaka wadhamini. Ndege yake nusura igongane uso kwa uso na ndege nyingine wakati inatua! source Majira gazeti