Bernard Membe Akilazimisha 'UNABII'

Bernard Membe Akilazimisha 'UNABII'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa Malawi Professa Peter Mutharika(Wanne kushoto), Rais mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano, Rais mstaafu wa Afrika ya Kusini Thabo Mbeki(kulia) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (kushoto)wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kukutana wakati wa mkutano wa wakuu wan chi wanachama wa AU unaofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia(picha na Freddy Maro) D92A0213.JPG
 
Eti ni ndugu yake na JK. Kama hatakuwa Membe basi bora Pinda....ndiyo walivyoamua!!! wakati kambi Lowasa inataka urais kwa namna zote. CCM itameguka na kuipa nguvu UKAWA na hapo tutapata rais toka upinzani. Kwa maoni yangu siyo kama upinzani wataweza kuongoza kwa vipindi viwili bali CCM itajikusanya na kurudi pamoja kabla ya kurudia madaraka kwa heshima 2020. Natamani iwe hivi
 
Back
Top Bottom