Berlin nako kumekucha!!maandamano life imebana

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
43,589
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
43,589 2,000
Naona sasa haka kamtindo kanakaribia magogoni kwa style hii
hivi tanzania tumerizika na maisha tulionayo mbona wenzetu wanamaisha zaidi yetu lakini wanadai zaidi
sie tumelogwa na bagamoyo ama??wananchi wa berlin naangalia press tv wameandamana wakidai maisha ni magum
sana sana na kodiza vyumba zimepanda awajui wataishije naona wazee wa virungu wanazidi kuskumana nao sisjui
wanaelekea wapi mwisho wake
 

Forum statistics

Threads 1,358,242
Members 519,261
Posts 33,163,106
Top