Car4Sale Benz ya kujenga heshima ukweni iko sokoni

Car4Sale Benz ya kujenga heshima ukweni iko sokoni

Mleta mada ujumbe wako ni kuuza gari, ila kuhusu kuleta heshima ukweni inategemea sana mazingira. Kuna sehemu hiyo gari itakuaibisha maana iko chini sana. (Ground clearance). Ushawahi kufika Nyandira ya Kikeo Morogoro? Huko labda Landrover au Landcruizer.
Hahahahhahaaa😂😂😂 Nimecheki Sana Mkuu
 
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 35.5M
Call📞+255 747 999 927

MERCEDES BENZ C CLASS

Year: 2015
Engine: 1,990Cc
Mileage: 61,000+
Fuel Used: PETROL

Transmission: AUTO

✨Sport Mode
✨AMG Edition
✨Auto Adjust Lights

✅Clean Interior
✅In Good Condition
✅Exchange Possible

View attachment 3490165View attachment 3490166View attachment 3490167View attachment 3490168View attachment 3490169
2015 ni miaka 10. Haiwezi kuleta heshima ukweni bali dharau. Ni mbali sana na teknolojia imeishapitwa na wakati. Gari ya heshima ni miaka angalau ikiwa nzee mitano.
 
2015 ni miaka 10. Haiwezi kuleta heshima ukweni bali dharau. Ni mbali sana na teknolojia imeishapitwa na wakati. Gari ya heshima ni miaka angalau ikiwa nzee mitano.
Kwa Maisha Yetu Kibongo Bongo Lazima Ikupe Heshima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom