Car4Sale Benz ya kujenga heshima ukweni iko sokoni

Car4Sale Benz ya kujenga heshima ukweni iko sokoni

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
424
Reaction score
379
Bei/Price TSH 35.5M
Call +255 747 999 927

MERCEDES BENZ C CLASS

Year: 2015
Engine: 1,990Cc
Mileage: 61,000+
Fuel Used: PETROL

Transmission: AUTO

Sport Mode
AMG Edition
Auto Adjust Lights

Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible

IMG-20251017-WA0082.jpg
IMG-20251017-WA0084.jpg
IMG-20251017-WA0080.jpg
IMG-20251017-WA0083.jpg
IMG-20251017-WA0081.jpg
 
Ukitaka gari imara nunua Toyota au Honda lakini ukinunua gari za mjerumani na mmarekani zikifika 100k miles utalia ndugu.
Napingana Na Wewe Kwa Asilimia Zote Kwa Hii Kahawa Yako Unayosemea Hapa.

Ingekuwa Ivyo Basi Hizo Gari Unazosema Tusingekuwa Tunapisha Nazo Tena Nyingine Ni Namba A.

Mchawi Wa GARI Yeyote Ile Ni Matunzo Na Sio Vinginevyo
 
Bei/PriceTSH 35.5M
Call+255 747 999 927

MERCEDES BENZ C CLASS

Year: 2015
Engine: 1,990Cc
Mileage: 61,000+
Fuel Used: PETROL

Transmission: AUTO

Sport Mode
AMG Edition
Auto Adjust Lights

Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible

View attachment 3490165View attachment 3490166View attachment 3490167View attachment 3490168View attachment 3490169
Mleta mada ujumbe wako ni kuuza gari, ila kuhusu kuleta heshima ukweni inategemea sana mazingira. Kuna sehemu hiyo gari itakuaibisha maana iko chini sana. (Ground clearance). Ushawahi kufika Nyandira ya Kikeo Morogoro? Huko labda Landrover au Landcruizer.
 
Ukitaka gari imara nunua Toyota au Honda lakini ukinunua gari za mjerumani na mmarekani zikifika 100k miles utalia ndugu.
Kawadanganye watoto wadogo yaani mjapani ampite mjerumani na mmarekani? Sema hivi: ukitaka gari ya bei rahisi na ambayo spare zake zipo kila kona na pia spare zinaingiliana basi nunua Toyota.

Kama hamjui vitu msome tu comments.
 
Jamaa anafanya mzaha na products za mjerumani. Mjapan yupo vizuri sana sana ila Mzungu yupo hatua moja mbele yake.
 
Napingana Na Wewe Kwa Asilimia Zote Kwa Hii Kahawa Yako Unayosemea Hapa.

Ingekuwa Ivyo Basi Hizo Gari Unazosema Tusingekuwa Tunapisha Nazo Tena Nyingine Ni Namba A.

Mchawi Wa GARI Yeyote Ile Ni Matunzo Na Sio Vinginevyo
Nikiwa mdogo mpaka umri huu Katika gari familia yangu(wazee na sisi watoto kwa sasa) tulizo miliki Audi,VW,Mercedes Benz mbili,Landrover,Nissan,Toyota,Honda,Chrysler na Mitsubishi. Land Rover ilitumika sana kwa uwindaji na Nissan Patrol kwa safari za mikoani. Fundi wanakuja nyumbani kitengeneza gari ikiharibika. Utunzaji zote hizo zilitunzwa kikamilifu gari ya kwanza kugoma ilikuwa Audi na Mercedes stori ni ndefu Lakini uono wangu sio lazima uwe ndio ukweli kwa wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom