Benz New Model inauzwa

Benz New Model inauzwa

Sawa, lakini sijaona mantiki ya kuanza kubishana kwenye jambo ambalo liko wazi kabisa.

Hii benz bado itabaki kuitwa ni new model pia na wala haibadiliki, kwa sababu bado ina thamani tofauti na model zake za nyuma zilizopita.
Kama lipo wazi, ondoa hayo maneno sasa.
Pengine model ya mwaka 2009 itabaki kuwa new model kwenye ulimwengu wako wa kufikirika. Kuwa na thamani zaidi ya models za zamani haimaanishi kuwa ni new model. Kama unajua magari, basi utaelewa kwamba classic cars uwa ni bei ghali kuliko hata baadhi ya newer models zake. Lakini hazifanyi hizo classic cars kuitwa new models.
 
Sawa, lakini sijaona mantiki ya kuanza kubishana kwenye jambo ambalo liko wazi kabisa.

Hii benz bado itabaki kuitwa ni new model pia na wala haibadiliki, kwa sababu bado ina thamani tofauti na model zake za nyuma zilizopita.
Mkuu anachokwambia Nzi kina mantiki. Labda wewe hujui kuwa hio sio new model na unadhani ni new model. Hio sio new model.

C class mercedes walianza na
W202 mwaka 93 then ikaja W203 mwaka 2000[hizi ndio zimejaa sasa hivi bongo] then ikaja W204 mwaka 2007 [ambayo wewe unaita new model] then NEW MODEL W205 mwaka 2014 to date

W202
MERCEDESBENZC-Klasse-W202--1681_6.jpg

W203
2008aug01-48927795cfe3f.jpg

W204
53a45e31cc64ce499d41ddfdac5a7a64-jpg.83069

W205
schmidt-revolution-mercedes-benz-c-class-w205-01.jpg
 
Chifu, asante kwa ufafanuzi mzuri sana. Tena mimi nilikuwa sifahamu uwepo wa hayo madaraja. Nilijua models kwa miaka tu. Pengine kwa kuwa nina mizuka na S class katika classes zote za Mercedes Benz.
 
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.

Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.
Sawa kwa maelezo yako..lakini muuzaji kalitolea maelezo suala hilo na ameeleweka..sio vizuri kumtoa maana mwenzi mkuu
 
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.

Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.
Acha hizo..sasa mwenzio kaweka ya kwake anauza we unatuwekea picha ulizotoa google..sisi wabongo tuna shida
 
Umeelewa lakini hoja yangu? Kama ungekuwa umeelewa naamini usiongea haya.
Ngoja nikueleweshe. Ninachokipanga ni huyu jamaa kusema hiyo ni benz new model. Huo ni uongo. Anatumia udanganyifu kuvutia biashara yake. Nimempinga ili kuweka mambo sahihi. Na kama chifu RRONDO alivyofafanua hapo juu, benz ya mwaka 2009 haiwezi kuwa new model. Kwani kuna newer model zaidi.

Ni sawa na mtu atangaze biashara yake ati ninauza iPhone new model. Halafu hiyo iPhone yenyewe ni iPhone 5. Sasa hiyo ni sahihi kweli? Kwanini asiseme ukweli tu?
 
Braza, sina nia ya kukuharibia biashara yako. Lakini utaiitaje 'new model' gari ya mwaka 2009?!?
Model hapo mana yake ni version ya gari la aina hiyohiyo. Mfano prado version au model iliyo Baarabarani kama haina model ya juu zaidi yake basi hiyo ndo itakayokuwa inaitwa new model. Kwa Mfano kama prado wawe hawajatoa model yoyote tangu ile waliotoa tuseme mwakq 2010. Basi hata leo hii tutaendelea kuiita prado ya 2010 new model. Tutaiita hivyohivyo mpaka pale prado watakapotoa model nyingine. Wakitoa nyingine tuseme 2017 Basi hii sasa ndo itachukua jina last new model. Na ile ambayo hadi mwaka 2016 tulikua Tunaiita new model inakua imenyanganywa jina la new model haitaitwa new model tena. Pale prado watakatoa model nyingine tena Basi hii iliyoanza kuitwa new model mwaka 2017 nayo inapoteza hilo jina. Huo ndo mpangilio. Kwa hiyo kuliita benzi la aina hiyo la mwaka 2009 new model atakua yupo sahihi tu ila tu kama benzi la kabila hiyo bado halijatoa toleo jipya la juu ya hilo. Kama wameshatoa model ya juu zaidi ya hiyo Basi jamaa atakua anakosea kuiita benz yake new model
 
Chifu, kama ni mtu wa kuelewa unapaswa kuwa umeshaelewa hoja yangu. Ondoa hilo neno 'new model' kwenye tangazo lako.

Sema ni Benz model ya mwaka 2009. Na ndiyo zote zipo kwenye category moja, 'old C class models'. Ila moja ni older than the other tu.
New c class models category inakua models ngapi?. Si inakua na moja tu? Nadhani kuzitenganisha kwa categories zako hizo sio sahihi
 
Soma post number 23 hapo juu, RRONDO amefafanua vizuri tu.
 
Nilimaanisha c class new model category. Kama umezinganisha za zamani zote katika old category. Kwa hiyo new model category ina category yenye model moja tu?
 
Chifu hata sielewi unachokisema...sijui unataka ligi tu au vipi! Pia fuatilia mtiririko wa majadiliano kati yangu na huyo jamaa. Kwa maana mimi nilikuwa namjibu huyo jamaa baada ya kusema kwamba unaweza kuziweka pamoja Benz ya 2005 na 2009. Mimi nikamwambia ndiyo, kwani zote hizo ni old models. Mimi kutumia neno category ilikuwa katika kujaribu kumwelewesha jamaa. Haimaanishi kuwa hiyo category ipo kiuhalisia.

Besides, katika magari mengi zaidi ya Mercedes, model moja inakuwa katika editions tofauti tofauti. Nyingi ambazo zipo mtaani ni standard editions. Pia Mercedes Benz kama ilivyo kwa BMW na Audi, wana editions za high performance, kama umeshawahi kusikia AMG (kitengo cha Mercedes kwa ajili ya high performance) hiyo ndiyo edition kwa ajili ya high performance. Kwenye kila daraja la Mercedes, iwe S-class, E-Class, A-class, CLS, ML, GL, G-class na C-class n.k. kuna editions za AMG. Kwenye C-class, editions za AMG kuna model C63, C63 S na C450. Kwenye S-class kuna S63 na 65, na E-class zipo E63 na E63 S.

Natumaini umenielewa sasa
 
Umifuatilia comment yangu ya kwanza utagundua kwamba tuko pamoja na wewe. Sanasana nilitoa ufanunuzuzi wa kina tu. Sijakupinga ila tatizo langu lilikua pale ulipo zi categorize tu hizi gari. Mantiki yangu ni kwamba tunazitofautisha hizi kwa miaka yake hasa version au model na sio kuzicategorize kama hivyo. Tofauti na hapo hizi benz nazifamu vizuri tu linapokuja suala la models zake
 
Jamani eeeeeee,zogo loooote licha ya kwamba wengine ndio tunaelimika kwa kina Mr.Googles

Lakini mjue Jamaa anaunza Benz ya 2009 bei Tsh:42m

Haya wateja karibuni
 
Wajifanya bei hawajaona,,, hawa....hehehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom