CHADEMA UKOMBOZI WA MTANZANIA.
Mungu kaamua kutukomboa kwanamna ya Kipekee sana.
"WAO WANA TISS & RISASI, SISI TUNA-MUNGU"
imekaa vyema sana tatizo la huyu waitara bwana yeye ni mzee wa divisible politics sana angekuwa hayuko hivyo angekuwa mtu sana kisiasa lakini sasa huko kwao kagawa watu vikundi kundi sana
zaidi ya wewe na kundi lako la masaliakwani sasa hivi wameamua kwenda kumteka nani? maana hao jamaa ni hatari kweli kweli.
Hawa jamaa mpaka miili yao imeshasahau kuvaa nguo za kistaarabu...
Kwa mafisadi kwenda kwa wazalendo mkuu simple!
Sijui hawa Chadema wana nini! yaani katikati ya propaganda nzito hivi wao ndo kwanza wanazidi kupaa, oh igunga kuna tindikali..igunga mtu alichinjwa, igunga chadema wameloga! Chadema hivi, chadema vile, haya ona wenyewe wananchi wa igunga walivyojaa kuwasikiliza hao chadema!
Hawa jamaa mpaka miili yao imeshasahau kuvaa nguo za kistaarabu...
sasa tayri hawa makamanda wana madoa wakiwa wachanga kabisa bila ya test yeyote ya nguvu ya dola...ukiwapa dola unafikiri watakua tofauti vipi na CCM
naonekana sana kama naitetea ccm lakini cha msingi hapa ni kwamba CDM haina tofauti na CCM na inaudhi kuona mijitu mingi inafikiri hivyo na kudanganyika kirahisi kiasi cha kuwafanya hawa CDM kama mitume ya kisiasa sasa (wasio na makosa na wasio wabinafsi wala wenye uchu na mapungufu kama ya mwanasiasa yeyote anayetaka uongozi wa kisiasa)