Beno Ndulu lini utajiuzulu kwa kuendesha money laundering scheme at BOT?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,173
BOT ndiyo ilifungua na kuwalipa makampuni husika fedha chafu kupitia TEGETA ESCROW ACCOUNT.

Professa Ndulu alitetea sana hili kwenye vyombo vya khabari.

Majukumu ya kisheria ya BOT hayawaruhusu kufanya shughuli kama hizi.

Hadi leo mgao wa BOT hatujui walilipwaje labda ndiyo ule uliopitia Stanbic Bank. Ila tuna uhakika walilamba dume wasingeliwawezesha hawa watu kwa bwerere

Beno Ndulu tujibu why? Was it proper to open, operate a money laundering scheme at BOT?

Beno Ndulu lini utajiuzulu?

Na hiyo ofisi ya uteuzi sijui inasubiri nini kukutengua baada ya wamiliki wa kampuni ulizowalipa kupitia escrow account kufikishwa mahakamani kwa makosa ya uhujumu uchumi.

Uliwawezesha kwa kuendesha money laundering scheme sasa unasubiri nini?
 
Back
Top Bottom