Benn Wa Saa nane yuko wapi? Je,yupo Igunga?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
627
Mambo wakuu!

Jamani Benn Wa Saa nane yuko wapi? Kwa wale wasiomjua huyu jamaa ni jembe chapa jogoo ndani ya Bavicha.
Siyo siri kijana huyu anaijua siasa nje-ndani, chini-juu....ni zao la CDM. Lakini ni mda sasa tokea kamanda huyu aone
kane hapa jamvini.....au yuko Igunga?

Na kama yuko Igunga mbona hatujuzi yanayohajiri huko? Mkuu Benn kama uko Igunga hebu tujuze yanayoendelea huko bila kutia chumvi ili tupate picha halisi....sie huku bongo presure inapanda presure inashuka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom