Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Hata wakianzisha nini, wewe jiulize CCM ilikuja na propaganda za BENKI YA WANAWAKE NA IKFUNGULIWA KWA MBWEMBWE ZA HALI YA JUU, SASA JIULIZE NI WANAWAKE WANGAPI WA VIJINI KULE LINDI, LOLIONDO, UKEREWE NA KWINGINEKO WALIO KOPA KWENYE HIYO BENKI,
WATAKUWA WANAKOPA WAKINA SOFIA SIMBA NA WAPAMBE WAO
Msipate tabu kung'amua hilo;serikali hii inatokana na ccm na mpaka sasa Serikali hii ya ccm inaelekea kupiga sarakasi(kichwa chini miguu juu),tusitarajie jipya zaidi ya haya tuliyokwisha kuyaona ufisadi wao wizi Wa Mali za umma wao Kama EPA/B.O.T /RiCHMoNdi/DoWANs/ na mengine ya kufanana na haya mpaka baraza la mawaziri linavunjwa mara mbili na mara zote kutokana na wizi(upotevu Wa Mal ya umai).Hii bank ni Yao kwa wao na walishagawana long time Kama tabia Yao ilivyo.