Benki ya nbc dodoma wezi+wasanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benki ya nbc dodoma wezi+wasanii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mapambazuko, Feb 21, 2011.

 1. m

  mapambazuko Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa jamaa wa tawi la NBC dodoma barabara ya nyerere ni wezi jamani angalieni walichomfanyia mshikaji wangu jamaa alililipiwa ada na mtu wake wa karibu benki tela alichokifanya kapokea pesa alafu akasaini slip na kisha kugomga muhuri wa benki kisha ile pesa akuingiza kwenye akaunti ya chuo inakotakiwa kwenda sasa kimbembe wakati wa mitihani jamaa si akazuiliwa na chuo kutofanya mitihani ya semister kwani sheria ya chuo hairuhusu mpaka uwe umelipa, kisa benki statement ya chuo inaonyesha kuwa jamaa hajalipa ada kuwafuata wakawa wanamletea usanii baada ya kukomaa nao kwa kuwatishia mwanasheria wakakiri kosa kuwa benki tela wa siku hiyo hakuweka pesa kwenye akaunti ya chuo so kakubali kulipa hiyo pesa lakini alishaitia ndani kumbe but it was too late kwa chuo mitihani imeshafanyika na jamaa anatakiwa kwa sheria za chuo afanye specil lakini hasara ya mitihani hiyo ni kuwa haina kozi work hivyo ni rahisi sana kufeli,anatakiwa kufanya mwezi wa tisa plus masomo ya semister ijayo hivyo nbc imembebesha mzigo mara mbili. hata hivyo anatakaka kuwaburuza mahakamani hivyo kwa wanazuoni wa dodoma mnaolipa ada kupitia benki NBC tawi hili la barabara ya nyerere kuweni makini huu ndoo mchezo mchafu wa matela wa benki hii na pia tatizo lao lingine ni kuwa jamaa slip zao ukishaandika wewe kwa mkono wao hawa print kwa mashine hivyo kwa wataalamu wenye kujua uhasibu ni rahisi kuongeza tarakimu hasa kwa wale wanaolipa malipo kwa niaba ya kampuni au mtu kakutuma nitumbukizie pesa kama hana tabia ya kucheki benki statementi yake kwa stahili yao hii unaweza kuibiwa sasa mpaka sasa hivi mchizi kadata sio siri anatia huruma jamani kuweni macho hawa vibaka.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bongo bwana!Mpe mshkaji pole sana!
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,331
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu sema tena kwenye hiyo red!nijuavyo mm special exams zina course work kama kawaida,isipokuwa supplementary ndo hazina kozi work!!angaliia jamaa asije kunyakwa akasingizia hakuwa na course work!
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Anagalizo la muhimu mkuu...sijui labda kwa system ya chuo chao ila kwa special course work ina-count sio kama SUP ambayo haina na C ndio grade la pass

  Ila hiyo benki mimi nina kadi yao mpaka leo na matumizi nayo sina...kwanza unaweza kufika ukakuta teller mmoja wakati misururu mitatu mpaka nje...na hata ukiwakuta wawili watatu basi kuna mijmaa hapo huwa imechoka mtu mmoja anaweza kusimama dirishani hata dakika saba wakati si ajabu anadeposit shs 30,000/ tu ....

  Real NBC Dom wanapaswa kujisahihisha maana wanakimbiza wateja
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  NBC??? Niliwekewa cheque yangu ya Gratuity ilikaa miezi mitatu bila kuingia kwenye akaunti ha ha ha pole yake jamaa. Hiyo ni tawi la Cooperate dar wanafanana wote baba yao mmoja mama yao mmoja wanatofautiana mahali tu
   
 6. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwanza hawa nbc dodoma nzima wanapategemea barabara ya nyerere, huwa kunabonge la foleni ndani hawajish2kiiiiii...
   
Loading...