Benki ya EXIM yaleta kadi za VIZA na MasterCard

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
338
04/21/2010

Benki ya Exim imefungua kadi za VISA PLATIMUN na MasterCard kwa ajili ya malipo kwa njia ya mtandao.
Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Sabetha Mwambenja, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari. Amesema kuwa kadi hizo zitakuwa na uwezo wa kulipia malipo ndani na nje ya nchi.

Source:Wavuti.com
 
Walikuwa wamechelewa kweli, mbona matawi yao ya nchi za nje walianzisha zamani? Si mbaya!
 
jamani hizi biashara...............we mwandishi baada ya kuweka hii thread umeenda kuwalipa wamiliki wa jf?????????????????????
yaani unaleta hii thread kwa nia ya kwamba tuchangie kweli????????????????
aaaaaaghhhhhhhhhh....................
 
nadhani ni Debit Card kwa sababu Mastercard credit card walitoa more than 2 years ago. Na VISA Platinum Credit Card is there since December 2009.
Ni hatua nzuri sana.
Lakini mkuu Exim kuna mkono wako nini?? (Natania tu mkuu.)
 
jamani hizi biashara...............we mwandishi baada ya kuweka hii thread umeenda kuwalipa wamiliki wa jf?????????????????????
yaani unaleta hii thread kwa nia ya kwamba tuchangie kweli????????????????
aaaaaaghhhhhhhhhh....................
Sijakuelewa vizuri una maanisha nini. Kuna mtu aliuliza kama anaweza pata Viza Card au MasterCard hapa nyumbani.Nimeiweka kwa faida ya wote sasa sijaelewa upuuzi huu uliouandika hapa.Kuna thread nyingi za kuchangia kama.
 
Jamani tunawashukuru sana kwa kutuletea hizo kadi lakini mmhh,mmenikumbusha machungu niliyoyapata juzi nilipoenda huko ofisini kwao,kadi yangu ilipotea nikafanya process zote,mwanzo wa mwezi huu nikaenda kuchukua kadi hapo ni baada ya kuzungushwa kwa karibu mwezi na nusu,baada ya kupewa kadi nikaambiwa njoo chukua pin code jumatatu ijayo na hapo ilikua ni siku ya jumatatu,nikasubiri wiki ikaisha nikaenda nikapewa hiyo pin,kwenda kujaribu kutumia kadi naambiwa kadi yako haitumiki wasiliana mtoa huduma,nimekanyagia huko zaidi ya mara tatu,hakuna cha maana nachoambiwa,juzi huyo muhumdumu ndo akanichosha zaidi namweleza matatizo ya hiyo kadi ananiambia subiri niwahudumie wateja wote baada ya hapo ndo nikusaidie,nilimwambia sorry natakiwa kazini nimeshapoteza almost 2 hours kwa hiyo sitaweza nikaondoka.
 
Are you talking about visa Credit Card ?Inaweza kuwa ur old card hasnt' been cancelled yet or is still valid(not expired) thats y u cant use ur new card...

However for the poor costumer service, you can always complain to the Branch Manager... send him/her email or letter...
 
Am talking about Visa card.
 
Back
Top Bottom