Gold nayo walitegemea itafikia 2000/ounce ila hadi sasa bado,mafuta ndo yanakimbia chiniUSD anachukua hatua ila haiwezi kuwa mwaka huu, mwaka huu Dollar hata GBP zita suffer sana kabla hazijawa stable tena. Mfumuko na mdodo unapotokea hasa ya manchi makubwa huwa inachukua mda sana kurudi hali ya kawaida
Kama una hela ipo kwenye makaratasi nunua dhahabu, au kalime ndio itayokoa thamani ya pesa kwa sasa.
Gold itapanda sana mkuu, ni swala la kuchezea market kupoteza maboya.Gold nayo walitegemea itafikia 2000/ounce ila hadi sasa bado,mafuta ndo yanakimbia chini
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sikuzote kunapokuwa na mdororo wa kiuchumi na inflation dhahabu inakuwa mahala salama kwa mwekezajiGold itapanda sana mkuu, ni swala la kuchezea market kupoteza maboya.
Mafuta nayo ni mbinu ya kisoko ingawa kutokana na hali za kimaisha kunawezekana yakashuka au kupanda .
Kama una hela invest kwenye vipande vya gold vya kutosha.. Then kaa zako pale unakula popcon huku unasubiri kuwa tajiri mpya tena wa uhakika
Tajiri ni mwenye vipande vya dhahabu vya kutosha, na sio hela za makaratasi ambazo mda wowote zinakuwa chochote.Sikuzote kunapokuwa na mdororo wa kiuchumi na inflation dhahabu inakuwa mahala salama kwa mwekezaji
Ndio maana hata Urusi amewekeza sana kwenye gold so far kwenye reserves zao wana gold nyingi kuliko us dollar au fedha nyingine za kigeni
Inabidi tukae kimkakati sana, ukisikia matangazo kwamba sijui wiki hii ukitaka kutoa pesa kubwa toa taarifa kwanza ujue kimewakaKwanini tusiyumbe na sisi sote tupo chini ya Dollar
Pesa za tz zinaprintiwa chinaThe more you print the more...... Hivi kwann familia Ile ijimilikishe uchapishaji wa fedha za mataifa mengi na wasituache tu print kivyetu vyetu ?
Tunachezeshwa mziki wao wanainjoi the show.Inabidi tukae kimkakati maana ukisikia matangazo kwamba sijui wiki hii ukitaka kutoa pesa kubwa toa taarifa kwanza ujue kimewaka
[emoji3][emoji3]Tunachezeshwa mziki wao wanainjoi the show.
Fedha wamemhonga rafiki yao Sele boy,acha wakione kilichomnyoa kanga manyoya😂Federal Reserve Bank imesema itakopesha Bank kadhaa $2 tril ili kusaidia kuondokana na mdororo wa mabenki.
Tayari mabenki kadhaa yamefungwa kutokana na mdororo uliochangiwa na uwekezaji mbovu katika hati fungani za Serikali.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii kitu ilianza kuonya na benki ya dunia,ila wamarekani kwa unaa wao wakaipigisha U turn,kuwa mambo sasa ni shwari.Sasa unaa unawageuka wenyewe 🤔.Siasa mbaya mno kwenye mambo yasiyo hitaji siasa😂USD anachukua hatua ila haiwezi kuwa mwaka huu, mwaka huu Dollar hata GBP zita suffer sana kabla hazijawa stable tena. Mfumuko na mdodo unapotokea hasa ya manchi makubwa huwa inachukua mda sana kurudi hali ya kawaida
Kama una hela ipo kwenye makaratasi nunua dhahabu, au kalime ndio itayokoa thamani ya pesa kwa sasa.