Kwanini tusiyumbe na sisi sote tupo chini ya DollarHivi hii athari ya Mabenki huko haiwezi kuzikumba hadi benki zetu huku?
Thamani ya hela inapimwa na backup iliyopo nyuma ya hiyo sarafu.. USA miaka ya karibuni ali print mahela mengi sana pasipo kuwa na thamani halisi ya nyuma ya hayo makaratasi.. na yakapelekea mufumukoKwanini tusiyumbe na sisi sote tupo chini ya Dollar
The more you print the more...... Hivi kwann familia Ile ijimilikishe uchapishaji wa fedha za mataifa mengi na wasituache tu print kivyetu vyetu ?Thamani ya hela inapimwa na backup iliyopo nyuma ya hiyo sarafu.. USA miaka ya karibuni ali print mahela mengi sana pasipo kuwa na thamani halisi ya nyuma ya hayo makaratasi.. na yakapelekea mufumuko
Ila juzi inflation imeshuka hadi 6%Thamani ya hela inapimwa na backup iliyopo nyuma ya hiyo sarafu.. USA miaka ya karibuni ali print mahela mengi sana pasipo kuwa na thamani halisi ya nyuma ya hayo makaratasi.. na yakapelekea mufumuko
Imerudi kwa kulinganisha wote wagonjwa na ambao wote gonjwa yao moja
Ni kweli, ni juhudu ambazo zinachukulikuwa ili kuweka hali sawa, ila mambo hayo hayai fumbua na kufumbua.. yanachukua mda kukaa sawa
Kwamba wote bado wapo wodiniImerudi kwa kulinganisha wote wagonjwa na ambao wote gonjwa yao moja
Sarafu ya Yen inajulika , mwaka jana ulivunja record ya kuwa dhaifu kupita maelezoMdororo wa Mabenki ya Marekani hupelekea masoko ya hisa yote duniania kuumia.
Huko Asia mambo si mazuriView attachment 2553457
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
USD anachukua hatua ila haiwezi kuwa mwaka huu, mwaka huu Dollar hata GBP zita suffer sana kabla hazijawa stable tena. Mfumuko na mdodo unapotokea hasa ya manchi makubwa huwa inachukua mda sana kurudi hali ya kawaidaKwamba wote bado wapo wodini
Ila Marekani anajithamini sana.
Mdororo wa Uchumi Tz utakuwa mbaya sana maana watu watakufa kwa presha
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wana print sana hela na wanakuja kuzitakatisha huku kwetu kwa kusema ni misaada, ili tuziingize kwenye system kwa kununua malighafi .. africa ni sehemu ya kutatishia fedha za hao mabwenyenyeThe more you print the more...... Hivi kwann familia Ile ijimilikishe uchapishaji wa fedha za mataifa mengi na wasituache tu print kivyetu vyetu ?