NAMTUMBA
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,939
- 600
Jamani naomba msaada wa haraka.
Mwenzenu nimezichanga kibishibishi zilifika 110 milion kwenye akaunti. Cha ajabu sasa kila biashara naiona haifai tena hata ile yamwanzo naiona ngumu alafu najisikia uvivu na pesa haiongezeki tena inazidi kupungua.
Nimejigundua natumia pesa kwa kasi juzi nimecheki nimekuta 98m na sijui nimetumiaje na sikumbuki kama nilihonga. Cha ajabu nikitoka ATM kuchukua pesa kila mwanamke namuona mzuriii!!!.
Sasa mwajameni nimerogwa au pepo limeniingia? Nifanyaje kuilinda hii amount nisije nikafulia mwenzenu.