Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kuna kampuni ya kilimo inaanzishwa mwisho wa mwaka huu. Hii kampuni inategemewa kuwa kampuni kubwa sana hapa afrika mashariki na afrika.
Hii kampuni inataka kufungua akaunti kwenye benki yeyote yenye vigezo vifuatavyo:
- Urahisi wa kuweka na kuchukua pesa kwa wakati.
- Upatikanaji wa mikopo nafuu(yenye riba ndogo) na kwa wakati.
- Urahisi wa kufanya shuguli zote za kibenki kwa urahisi ndani na nje ya nchi.
- "Any special features favoring the companies"
Nawasilisha.