Benki gani nzuri kwa ajili ya kampuni?

Benki gani nzuri kwa ajili ya kampuni?

Mkuu nenda benki ya mama mboga Equity Bank ni benki kubwa kutoka kwa jirani zetu hapo Kenya na haina longolongo tatizo ni kuwa haipo sehemu nyingi,hapo nyuma ilikuwa Stambic Bank lakini sasa tokea wameiEscrow ni kama imekumbwa na laana ,lakini bado kwangu mimi naona ndio benki bora kwa huduma za makampuni.
 
hakuna bank ni matatizo tu zamani ilikuwa NBC kuna watu matajiri wakaifirisi na leo hii wanataka kuiamrisha serikali
 
Nenda au visit website yao,Equity Bank Tanzania.
Sijui kama itadumu sana hii.
Wamenipa yote hayo.
Lakini siku zote huwa nacheka nasema labda kwa kuwa sio banker-sijui yatokanayo.
kikawaida bank huwa zinasubiri 5-7 clearance ya cheque ukii deposit .
Hili ni zuri,lakini vitu vingine inabidi uwe na exclusions .
Hivi kama niko kwenye bank for 10 yrs na BOT wamenipa cheque ya 1m na mimi huwa na deposit 100M kwa mwezi.
Kweli utasema ni mpaka iwe cleared ??wakati naakiwa ku delive kitu cha 500K umezishikilia?si bora unitoze fee unayotegemea kupata kwa kuka nazo?
Au aya kama nimelipwa na World bank-kweli nao ni wa utata?
Kwa kampuni kama ya kwako ulivyoiongelea,wajaribu au ongea nao.

Mkuu kuna kitu kinaitwa special clearance ila at your own cost maana ni sehemu ya income ya bank. Hata hivyo ili kutatua hili suala ya kusubiri siku 4 au 5, kuna system BOT wameianzisha (kwa sasa ipo kwenye testing. Bank zinatumiana testing cheques) ambayo itaanza mwakani mwezi wa tatu, clearance itakuwa inafanyika within one hour.
 
Mkuu nenda benki ya mama mboga Equity Bank ni benki kubwa kutoka kwa jirani zetu hapo Kenya na haina longolongo tatizo ni kuwa haipo sehemu nyingi,hapo nyuma ilikuwa Stambic Bank lakini sasa tokea wameiEscrow ni kama imekumbwa na laana ,lakini bado kwangu mimi naona ndio benki bora kwa huduma za makampuni.

Nadhani Stanbic inaweza kunifaa
 
Mkuu S.clearance ni nzuri sana kwa wenye shida kama sisis,lakini si ndio ina kikwazo cha amount?hawa hawana mambo ya amount.hiyo system ya kutumiana testing cheques itasaidia sana,maana hapa kuna baadhi ya banks mnaweza kuwa customers ni same bank ukaambiwa baada ya 24 hrs ndio cheque itakuwa cleared?*?:confused2:
 
Kwanin FNB??

Kuna monitoring kubwa sana ya risk na fraud zote unazozijua wewe kwenye hii benki.
Kingine ni suala zima la online transactions, TISS na nyinginezo zimekuwa monitored vizuri sana.
hata ukijaribu kufanya research yako vizuri kule walikoanzia benki hii mama South Africa wanafanya vizuri sana.
Kwa kifupi wako vizuri. Try go there and find out for yourself
 
Back
Top Bottom