Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,921
- 30,265
- Thread starter
- #21
Bhachu,Hongera sana Boss, ila bado una kazi kubwa sana.
Kazi yangu nimekamilisha na sasa nashukuru natambulika kama "authority," katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Maktaba yangu imetajwa na waandishi wa Wasifu wa Julius Nyerere kuwa ni kati ya maktaba tatu (ya Salim Ahmed Salim, Hashim Mbita na yangu) bora zilizo na taarifa za Mwalimu Nyerere.
Siku hizi kazi yangu ni kujibu maswali kama hivi hapa baada ya watu kunisoma.