Dah! Hadi Mungu akaogopa jinsi Daudi alivyochinja magaidi! Hiyo inaitwa to go beyond and above expectations. Safi sana.Huyu ni chamtoto kuna kitu kina itwa Devid acha kabisa alichinjs mpaka Mungu akamwambia huwezi jenga hekalu langu mikono yako ina dam nyingi sana
Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karimwana
Mwana kulittafuta Mwana kuligetUngewalaumu HAMASI kwanza. Kipindi Hamasi wanaua wayahudi mliimba alahakbari, fimbo ilipogeuka mnaanza kulaani wanaojitetea.
Mungu wa Israel ni Mungu wa Majeshi. Vita ni sehemu ya maisha ya wateule.
Waulize wa Egypt alichowafanyia pale bahari ya Shamu na kabla ya kuondoka waliacha msiba wa kila kiumbe wanyama walio wafuga na watu piaHakuna Mungu wa majeshi aliye mbaguzi,kwani huyo Mungu wenu wa majeshi huwa hajui kuwa aliumba wapalestina wanaouawa kama kuku? acheni ujinga nyie
Na Mungu akamwapia katika kitu Cha enzi hatakosekana mrithi Simba wa kabila la YudaDah! Hadi Mungu akaogopa jinsi Daudi alivyochinja magaidi! Hiyo inaitwa to go beyond and above expectations. Safi sana.
Ungemuuliza hilo swali mama yakoWaulize wa Egypt alichowafanyia pale bahari ya Shamu na kabla ya kuondoka waliacha msiba wa kila kiumbe wanyama walio wafuga na watu pia
Wewe ni mkatoliki halafu unaisema Israel 😀😀😀😀 unachekesha asubuhi asubuhi au unataka kujiripua?hakika wewe una shida mie ni mkatoliki kwa kuzaliwa mie sio muislamu,uovu wanaofaniwa wapelestina hauhusu dini ni udhalimu na ujahili wa natanyahu
Naam; mtawala atakayewachunga watu wangu Israeli. Ahadi za Mungu wa Yakobo ni hakika; hutimia kwa majira yake.Na Mungu akamwapia katika kitu Cha enzi hatakosekana mrithi Simba wa kabila la Yuda
nani alikwambia waisraeli ni wakatoliki,kama huna habari hakuna muisraeli ambae ni mkristo acha huo ukatolikiWewe ni mkatoliki halafu unaisema Israel 😀😀😀😀 unachekesha asubuhi asubuhi au unataka kujiripua?
AminaNaam; mtawala atakayewachunga watu wangu Israeli. Ahadi za Mungu wa Yakobo ni hakika; hutimia kwa majira yake.
Kama unatka kuwa mkristo Kaa chini tukufundishe sio kutukana tukana, Yesu katufundisha unyenyekevunani alikwambia waisraeli ni wakatoliki,kama huna habari hakuna muisraeli ambae ni mkristo acha huo ukatoliki
HIS TIME WILL COME, MUCH SOONER THAN THAT,Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
subira huvuta kheri,siku yake itafikaHIS TIME WILL COME, MUCH SOONER THAN THAT,
IDF MOJA YA MAJESHI DHAIFU LAKINI MAKATILI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI
wapi yesu kafundisha kuua watoto,wazee,waandishi wa habari,kudhulumu ardhi ya watu? eti unifundishe yesu kafundisha nini lol abda yesu wa galapoKama unatka kuwa mkristo Kaa chini tukufundishe sio kutukana tukana, Yesu katufundisha unyenyekevu
kha mtu mwenye nuclear anashindwa kupigana na ngo ya hamas leo mwaka mzima hajui.mateka wako wapi,acheni kumpa sifa za kijinga natanyahuHivi unajua jamaa ana nuclear bombs sio chini ya 103 ila anakausha... angekua nazo iran unadhani israel ingekuwa bado ipo dunian?
usipotoshe hoja hapa hatutaji dini ya mtu tunataja haki ya wapalestina,huo upofu wako juu ya aina ya mavazi ya waislamu,ndio unaokunyima fursa ya kujua ukweli kwamba wanauawa wapelestina ambao wengi wao pia ni wakristo,lakini kwakuwa huhanya yapata mwezi mzima,inabidi natanyahu aje akuchokonoe unye kwa urahisi
usipotoshe hoja hapa hatutaji dini ya mtu tunataja haki ya wapalestina,huo upofu wako juu ya aina ya mavazi ya waislamu,ndio unaokunyima fursa ya kujua ukweli kwamba wanauawa wapelestina ambao wengi wao pia ni wakristo,lakini kwakuwa huhanya yapata mwezi mzima,inabidi natanyahu aje akuchokonoe unye kwa urahisi
Wewe uliona wapi makombora yakimkwepa mwanamke mjamzito? Netanyahu anatoa fundisho la muda mrefu dhidi ya uvamizi wowote kwa Israel. Kaburi kutojaa mchanga ndio vizuri ili awahi kufufuka.Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
Ulitaka azitumie halafu muanze kulialia kama hivi..kha mtu mwenye nuclear anashindwa kupigana na ngo ya hamas leo mwaka mzima hajui.mateka wako wapi,acheni kumpa sifa za kijinga natanyahu
Nani aliwah kufa vizur mkuuKwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu