haumilikiwi na mkapa. ni jina tu jengo la Benjamin mkapa pension fund (mafuta house). ILA TUNATUMAINI TUTAPATA NA INGINE YA JAKAYA MRISHO KIKWETE SPECIAL EXPORT ZONE, kwasababu pamoja na kwamba mkapa ametuhumiwa na mengi, kuna mazuri mengi yanayoonekana kayafanya kuliko huyu mtani wetu.