Benjamin Asukile: Jeshini hakuna urembo wala Biriani, asema mazoezini hucheza kwa nguvu sana kuliko hata kwenye mechi. Awataka simba waache kulia

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
835
1,000
Benjamin Asukile ''Sisi hatuna pira biriani sisi tunapiga gwaride na sasa tumeongezea kwata kidogo, jeshini hakuna urembo wala biriani. Hatuiwezi biriani itatupalia tu ndio maana tunacheza mpira wetu wa uhalisia wa jeshi sababu mazoezi ya jeshi ndivyo yalivyo kwahyo inatubidi tucheze kwa jinsi mazoezi yetu tunayofanya ya kijeshi.

Nadhani hauhuzurii mazoezi yetu, Mazoezi yetu ni zaidi ya mechi. Hatumfokei bali tunamhamasisha sisi jeshini hakuna kufokeana bali tunamhamasisha ,kauli ya jeshi ni nzito siku zote sio nyepesi"

Mlinzi na nahodha wa Tanzania prison Benjamin Asukile akijibu swali kuwa pale mchezaji wao anapofanya kosa wanaonekana kama wanaenda wengi kwenda kumzonga na kumfokea.

IMG_20210311_124155.JPG
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom