Benitez appointed Chelsea interim manager

Benitez appointed Chelsea interim manager

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,630
Reaction score
2,391
amechaguliwa kwa muda (appointed on interim basis) mpaka mwishoni mwa msimu.

Hatua hii inafuatia baada ya kutimuliwa kwa Roberto Di Matteo baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Juventus jana usiku hivyo kuiweka Chelsea katika hatari ya kua bingwa wa kwanza kutolewa kwenye hatua ya makundi.

Hata hivyo mashabiki wa Chelsea wameshabainisha kuwa hawampendi Benitez.

############

LONDON (Reuters) - Rafael Benitez was appointed interim manager of European champions Chelsea until the end of the season on Wednesday, 10 hours after the club announced the sacking of Roberto Di Matteo.

Spaniard Benitez, the former Valencia, Liverpool and Inter Milan coach, becomes the ninth manager under Russian owner Roman Abramovich.

He will be tasked with salvaging their season after a run of two wins from their last eight games left them off the pace in the Premier League and facing elimination at the group stage of the Champions League six months after winning the ultimate club trophy for the first time.

"The owner and the Board believe that in Benitez we have a manager with significant experience at the highest level of football, who can come in and immediately help deliver our objectives," Chelsea said in a statement.

The 52-year-old is due to meet the players at the club's training ground on Thursday, when there could be some interesting exchanges on the back of his lengthy and often fiery rivalry with Chelsea during his six years in charge of Liverpool.

During that time he won the 2005 Champions League, following the "miracle of Istanbul" when Liverpool came from 3-0 down to AC Milan at halftime to draw 3-3 and win on penalties.

They also reached the final in 2007, losing to Milan having beaten Chelsea in the semi-finals, and won the FA Cup in 2006.

At Valencia, Benitez won the Spanish league twice and the UEFA Cup but he has been without a club since being sacked by Inter in December 2010 after six months in the job.

Local media speculation on Wednesday was that Chelsea would appoint a temporary manager to fill the gap until former Barcelona boss Pep Guardiola potentially becomes available following a one-year sabbatical from the game
 
Huyo ndio Kimeo kabisa si wangepambana ili wampate
GUADIOLA.
 
Huyu jamaa si alikuwa livepool Zamani au? Chelsea banA,hivi jana hawakubaguliwa wazee wa kulalamika!
 
.. Abrahamovic ameishiwa options. heri wangemu'appoint' Julio wetu kuliko Rafa
 
amechaguliwa kwa muda (appointed on interim basis) mpaka mwishoni mwa msimu.

Hatua hii inafuatia baada ya kutimuliwa kwa Roberto Di Matteo baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Juventus jana usiku hivyo kuiweka Chelsea katika hatari ya kua bingwa wa kwanza kutolewa kwenye hatua ya makundi.

Hata hivyo mashabiki wa Chelsea wameshabainisha kuwa hawampendi Benitez.

Nimeiona The sun.
 
Habari iko skysports,bbcsport,goal.com
 
walimtaka Guardiola lakini wameambiwa wasubiri mpaka mwishoni mwa msimu ndo maana wamemteua huyu kwa muda.

Ni kocha mwenye akili ya samaki tu ndiye anayeweza kukubali kufundisha Chelsea. Naamin Guardiola hawezi kufanya kufanya kosa la kuja timu ambayo haina subira ya mafanikio hata kidogo.
 
Huyo ndio Kimeo kabisa si wangepambana ili wampate
GUADIOLA.

Chelsea's Coacher.jpg
Ndio maana yake
 
Ni kocha mwenye akili ya samaki tu ndiye anayeweza kukubali kufundisha Chelsea. Naamin Guardiola hawezi kufanya kufanya kosa la kuja timu ambayo haina subira ya mafanikio hata kidogo.

Ata ungekuwa wewe ungekwenda pale ukifanya vibaya unafukuzwa alafu unalipwa "REMEDIES OF BREACHING A CONTRACT" na Mrusi mpaka upate kazi kwingine au mkataba ufike mwisho we hujagundua kwanini Makocha wanangoja wafukuzwe hawajiuzuru?

Thats why...
 
walimtaka Guardiola lakini wameambiwa wasubiri mpaka mwishoni mwa msimu ndo maana wamemteua huyu kwa muda.

Ni ngumu kuifundisha hii timu, na hata kuichezesha kama referee !!
Kuna siku itakukosa hata kocha wa muda kama haikuangalia!

De Mateo ameipatia chelsea mafanikio makubwa tu, na bado ina nafasi ya kupita katika hatua ya makundi,
leo anaonekana si chochote. Haya basi tusubiri maajabu, labda huyu kocha mpya na yeye aingie uwanjani wawe 12!!
 
Kazi njema rafael

Mola ndiye ajuae anaweza akapata mkataba wa kudumu mwisho wa msimu

gud luck Chelsea

Mimi yangu macho
 
Back
Top Bottom