Kapigika kijijini mpaka akakaribia kuwa kigagula kaona afuate nyayo za Lipumba kwenda kula pesa za CCMAliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.
Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
Mkuu tunaomba picha wengine tuko mbuchi mai huku hatumjuiAliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.
Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

wacha bhana mwenzako kaona heshima imepotea. hataki kuitwa nyumbu.Njaaa mbaya
Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja hivi alikuwa anatisha kwa kuchapa.
Alikuwa akiingia class mkwala wake anasema yeye anatisha kama njaa ikiingia kijijini kwenu.
Sasa huyu njaa ilishaingua kwa village yake matokeo yake ndo hayo